Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ukweli lazima usemwe tu popote pale.
Kitendo cha uvccm kushiriki mapokezi ya mwili wa marehemu Mkono wakiwa na jezi zao cha chama cha mapinduzi ni dallili tosha za kibaguzi kwenye jamii ya watanzania waliostaarabika.
Mtu akisha kufa anakua amejitoa rasmi kwenye mambo ya kidunia ikiwemo mambo ya itikadi za kisiasa.
Kwa muendelezo huu itafika hata watu kutoka vyama vingine watawaachieni wana uvccm mfanye shughuli zenu kisiasa.
Nje ya siasa watanzania wote ni ndugu hivyo wacheni hii tabia ya kibaguzi.
Poleni sana wafiwa na familia yote ya marehemu Mkono.