Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #21
Nashukuru kwa kunielimisha kiongoziMkuu mwendazake Mzee Mkono alikuwa mwana CCM mwenye heshima yake ndani chama, hivo si dhambi wala kosa Kijamii Kwa Wanajumuhia wa chama kushiriki bega Kwa bega na familia ya marehemu, huo ni utamaduni wa Kiitikadi Ulimwengu kote.