Alikuwa mwana ccm kabisa lkn unataka kutwambia kuwa hata shughuli za msiba zinatakiwa kufanywa na wana ccm pekee yao?Ningekubaliana na ww, lakini marehemu si alikuwa mwanaCCM?
Mbona anahudumiwa na kanisa lake kama mtu akifa anatoka kwenye vyama, acheni wivu, huyo ni mwana CCM acha apewe hadhi yake na vijana wakeUkweli lazima usemwe tu popote pale.
Kitendo cha uvccm kushiriki mapokezi ya mwili wa marehemu Mkono wakiwa na jezi zao cha chama cha mapinduzi ni dallili tosha za kibaguzi kwenye jamii ya watanzania waliostaarabika.
Mtu akisha kufa anakua amejitoa rasmi kwenye mambo ya kidunia ikiwemo mambo ya itikadi za kisiasa.
Kwa muendelezo huu itafika hata watu kutoka vyama vingine watawaachieni wana uvccm mfanye shughuli zenu kisiasa.
Nje ya siasa watanzania wote ni ndugu hivyo wacheni hii tabia ya kibaguzi.
Poleni sana wafiwa na familia yote ya marehemu Mkono.View attachment 2636381
Wacha wafu wazike wafu waoUkweli lazima usemwe tu popote pale.
Kitendo cha uvccm kushiriki mapokezi ya mwili wa marehemu Mkono wakiwa na jezi zao cha chama cha mapinduzi ni dallili tosha za kibaguzi kwenye jamii ya watanzania waliostaarabika.
Mtu akisha kufa anakua amejitoa rasmi kwenye mambo ya kidunia ikiwemo mambo ya itikadi za kisiasa.
Kwa muendelezo huu itafika hata watu kutoka vyama vingine watawaachieni wana uvccm mfanye shughuli zenu kisiasa.
Nje ya siasa watanzania wote ni ndugu hivyo wacheni hii tabia ya kibaguzi.
Poleni sana wafiwa na familia yote ya marehemu Mkono.View attachment 2636381
Tusi politicised kila kitu!, maadam Mkono ni kada wa CCM, na amekufa akiwa kada, hakuna ubaya wowote kwa UV CCM kuupokea mwili, from Airport na kuupeleka nyumbani, and from home to Karimjee. Njoo kesho Karimjee kwenye kuaga rasmi uone kama hao mboga mboga watagusa jeneza!. Kesho ni wenyewe wenye mtu wao, ndio watabeba jeneza lake!.Ukweli lazima usemwe tu popote pale.
Kitendo cha uvccm kushiriki mapokezi ya mwili wa marehemu Mkono wakiwa na jezi zao cha chama cha mapinduzi ni dallili tosha za kibaguzi kwenye jamii ya watanzania waliostaarabika.
Mtu akisha kufa anakua amejitoa rasmi kwenye mambo ya kidunia ikiwemo mambo ya itikadi za kisiasa.
Kwa muendelezo huu itafika hata watu kutoka vyama vingine watawaachieni wana uvccm mfanye shughuli zenu kisiasa.
Nje ya siasa watanzania wote ni ndugu hivyo wacheni hii tabia ya kibaguzi.
Poleni sana wafiwa na familia yote ya marehemu Mkono.View attachment 2636381
Nyie BAVICHA nani kawazuia Kuvaa magwanda yenu?Ukweli lazima usemwe tu popote pale.
Kitendo cha uvccm kushiriki mapokezi ya mwili wa marehemu Mkono wakiwa na jezi zao cha chama cha mapinduzi ni dallili tosha za kibaguzi kwenye jamii ya watanzania waliostaarabika.
Mtu akisha kufa anakua amejitoa rasmi kwenye mambo ya kidunia ikiwemo mambo ya itikadi za kisiasa.
Kwa muendelezo huu itafika hata watu kutoka vyama vingine watawaachieni wana uvccm mfanye shughuli zenu kisiasa.
Nje ya siasa watanzania wote ni ndugu hivyo wacheni hii tabia ya kibaguzi.
Poleni sana wafiwa na familia yote ya marehemu Mkono.View attachment 2636381
Hapo nimekuelewa PascalTusi politicised kila kitu!, maadam Mkono ni kada wa CCM, na amekufa akiwa kada, hakuna ubaya wowote kwa UV CCM kuupokea mwili, from Airport na kuupeleka nyumbani, and from home to Karimjee. Njoo kesho Karimjee kwenye kuaga rasmi uone kama hao mboga mboga watagusa jeneza!. Kesho ni wenyewe wenye mtu wao, ndio watabeba jeneza lake!.
P
Mkuu wala usipoteze muda na misiba ya hao wanaccm, hata kama jeneza lake likizungushiwa bendera ya CCM ni sawa tu. Cha muhimu usiende kwenye misiba yao.Wivu wa kitu gani hapo ndugu au hujasoma kilichoandikwa?
Mikojo ya wanaume imekuathiri sanaNyie BAVICHA nani
Nyie BAVICHA nani kawazuia Kuvaa magwanda yenu?
Mimi sioni kama ni ubaguzi. Hata angekuwa marehemu wa Chadema, cuf au chama kingine mwili ungebebwa na wanachama wa chama chake. Hiyo haimaanishi watu wa vyama vingine wanatengwa kwenye huo Msiba.Ukweli lazima usemwe tu popote pale.
Kitendo cha uvccm kushiriki mapokezi ya mwili wa marehemu Mkono wakiwa na jezi zao cha chama cha mapinduzi ni dallili tosha za kibaguzi kwenye jamii ya watanzania waliostaarabika.
Mtu akisha kufa anakua amejitoa rasmi kwenye mambo ya kidunia ikiwemo mambo ya itikadi za kisiasa.
Kwa muendelezo huu itafika hata watu kutoka vyama vingine watawaachieni wana uvccm mfanye shughuli zenu kisiasa.
Nje ya siasa watanzania wote ni ndugu hivyo wacheni hii tabia ya kibaguzi.
Poleni sana wafiwa na familia yote ya marehemu Mkono.View attachment 2636381
Mkuu mwendazake Mzee Mkono alikuwa mwana CCM mwenye heshima yake ndani chama, hivo si dhambi wala kosa Kijamii Kwa Wanajumuhia wa chama kushiriki bega Kwa bega na familia ya marehemu, huo ni utamaduni wa Kiitikadi Ulimwengu kote.Ukweli lazima usemwe tu popote pale.