Tetesi: UVCCM kumvua Unaibu Katibu Mkuu Shakka!

Tangu lini Shakka amekuwa Mwenyekiti? Yaani akili za kirofa kumtofautisha Shakka na Sadifa sawa na suspension
Mleta mada akishakolea kiroba cha Chadema cha bure ndio zake huyo kuandika kuwa mangula ndie katibu mkuu wa CCM kwake huwa sawa tu.hapo kaandika akiwa chakari.ni mlevi wa kutupwa huyo
 
Ukishakula nyama ya mtu hutaacha bali utaendelea kuila. Nyama ya mwana CCM Zanzibar halali yetu pia. CCM bara oyee!
 
Acha wafu wazikane wenyewe.....!! Kila akiwekwa mzanzibari anaonekana mzigo! Anzia huyu Naibu Waziri.......
 
CUF kila siku Nakuambieni mkiamuwa kutunga uwongo basi tungeni uwongo wenye akili.. ili na nyinyi muonekana mna akili.Shaka Hamdu Shaka tangu lini amekuwa mwenyekiti wa UVCCM?. Kwa kicheo chaka ni Naibu katibu mkuu wa UVCCM Zanzibar lakini si mwenyekiti wa UVCCM.
Poleka habari mtendeni ya kuwa umeshachemsha waje wengine warekebishe ili mpate kuaminika na siku ya Pili wakituma mtu kuanzisha uwongo wasimtume KIAZI kama wewe.
 
Ni kama error tu mkuu, lakini aliyekua akizungumzwa hapa ni Shaka Hamidu Shaka,kaimu katibu mkuu UVCCM.
 
Hapana kwa sasa nafasi ya unaibu katibu uvccm Zanzibar imeshikwa na Abdulghafar
 
Hapana kwa sasa nafasi ya unaibu katibu uvccm Zanzibar imeshikwa na Abdulghafar
Hawa jamaa hata hawawajui viongozi wao,ndio maana migogoro kati yao haiishi.Huyu Shaka ni kaimu Katibu mkuu UVCCM.
 
Hili swali nami ndio linanisumbua. Isije kuwa wanataka kumfukuza kwa sababu za wivu kwani nasikia uvccm wengi wanatamani nao wawe wanaenda 'ga' huko kupumzika kama mwenzao!
Ya kweli haya mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…