Uvccm mnajifanya hamjaona yaliyomkuta Sabaya? Ipo siku na ninyi mtakiona cha moto.

Uvccm mnajifanya hamjaona yaliyomkuta Sabaya? Ipo siku na ninyi mtakiona cha moto.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mnataka kusema hamjui kuwa ametumika kama mpira wa kutunzia uchafu na kisha kutupwa jalalani?

Ninyi mnaotumika kama green guard kupiga watu, kuiba kura ipo siku na ninyi mtakiona cha moto. Ccm ni genge la wanyag'anyi.
 
Back
Top Bottom