Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya "AMKA TWENDE NA SAMIA 2025"
Wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan afya njema, ulinzi na baraka katika safari yake ya kuiongoza Tanzania.
Tambiko hili limeambatana na maandalizi ya ziara yao kubwa ya mkoa mzima, inayolenga kuwaamsha vijana, kuhamasisha maendeleo na kuhakikisha kura za kishindo kwa Mhe. Rais katika uchaguzi wa mwaka 2025.
Sauti ya vijana wa Mtwara ni moja: "Tumeshuhudia kazi sasa ni zamu yetu kulinda ushindi. Samia ni Tumaini la Taifa!"
Reforms zikifanyika kwenye mfumo wetu wa Uchaguzi halafu tuingie kwenye Uchaguzi Samia atushinde kwa HAKI tutampongeza sana kwa kuupiga mwingi kwenye Uchaguzi HURU na wa HAKI.
Otherwise hiyo Tume ya UCHAFUZI itaambulia mawe na maboxi tutatachoma moto.