Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza umeunga mkono Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) na kuitaka serikali kutoa ajira.
Soma Pia: Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza siku ya Ijumaa mbele ya waandishi wa habari, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Seth Masalu ameishauri serikali kuweka mazingira rafiki ya kuondoa changamoto za ukosefu wa ajira huku akidai NETO na raia wengine wasio na ajira wanayo haki ya kuomba ajira serikalini na kulalamika wanapoona hawatimiziwi haki zao.