Pre GE2025 UVCCM Mwanza waunga mkono NETO, Waitaka Serikali Itoe Ajira

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza umeunga mkono Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) na kuitaka serikali kutoa ajira.

Soma Pia: Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza siku ya Ijumaa mbele ya waandishi wa habari, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Seth Masalu ameishauri serikali kuweka mazingira rafiki ya kuondoa changamoto za ukosefu wa ajira huku akidai NETO na raia wengine wasio na ajira wanayo haki ya kuomba ajira serikalini na kulalamika wanapoona hawatimiziwi haki zao.

Here we goo Tanzania,we have been missing this courage
 
Waache kumnanga marehemu wao aliyevuruga Ajira na maisha waje kumpigia kelele Samia ambae amepunguza zaidi ya robo ya majbless badala ya kumpongeza?
 
Back
Top Bottom