Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwahiyo naye atakamatwa ili akahojiwe kama yule MwenyekitiAkizungumza siku ya Ijumaa mbele ya waandishi wa habari, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Seth Masalu
Kwahiyo naye atakamatwa ili akahojiwe kama yule MwenyekitiAkizungumza siku ya Ijumaa mbele ya waandishi wa habari, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Seth Masalu
isingekuwa uchaguzi ujafika wasinge sema.Rushwa kwa sasa ina kila mfumoUmoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza umeunga mkono Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) na kuitaka serikali kutoa ajira.
Soma Pia: Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza siku ya Ijumaa mbele ya waandishi wa habari, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Seth Masalu ameishauri serikali kuweka mazingira rafiki ya kuondoa changamoto za ukosefu wa ajira huku akidai NETO na raia wengine wasio na ajira wanayo haki ya kuomba ajira serikalini na kulalamika wanapoona hawatimiziwi haki zao.
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza umeunga mkono Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) na kuitaka serikali kutoa ajira.
Soma Pia: Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza siku ya Ijumaa mbele ya waandishi wa habari, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Seth Masalu ameishauri serikali kuweka mazingira rafiki ya kuondoa changamoto za ukosefu wa ajira huku akidai NETO na raia wengine wasio na ajira wanayo haki ya kuomba ajira serikalini na kulalamika wanapoona hawatimiziwi ha
Kumbe wanakuaga na akiliUmoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza umeunga mkono Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) na kuitaka serikali kutoa ajira.
Soma Pia: Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza siku ya Ijumaa mbele ya waandishi wa habari, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Seth Masalu ameishauri serikali kuweka mazingira rafiki ya kuondoa changamoto za ukosefu wa ajira huku akidai NETO na raia wengine wasio na ajira wanayo haki ya kuomba ajira serikalini na kulalamika wanapoona hawatimiziwi haki zao.
Kakudanganya nani?Nilisema hii ishu itaenda viral, mkakaza mafuvu kwa sababu watu wanakimbilia kukwepa wajibu na majukumu. Kwa kutumia njia za mkato Tena za ovyo.
Wamezingatia kutizama walimu wanasahau Taifa mpk Leo hii adui ujinga bado Yuko.
Tunaingia kwenye AI ila sehem nyingi mikoa mbalimbali watu wengi sana wakiwemo vijana hawajui hata kuandikia majina Yao.
Sawa kabisa mkuu. Lakin sikumaanisha kwamba wanapingana maana meno ya fisi kamwe hayaumani, ninasemea KamaKakudanganya nani?
Hapo problem causer ana act kuwa problem solver ila kwakuwa una uwezo mdogo wa kuangalia mbele basi unadhani kuwa CCM na Uvccm wana pingana.
Hakuna kipya hapo.Si
Sawa kabisa mkuu. Lakin sikumaanisha kwamba wanapingana maana meno ya fisi kamwe hayaumani, ninasemea Kama
Kuna pressure imewasukuma kuongea au wameona kitu gan ili kutafuta sympathy kwa waTZ.
Au Kuna nyingine soon so wanaconect ili zinapotangazwa ionekane Wana mchango, sio juhudi za activists, na upinzani peke Yao.
Kosa lake ni nn hd ashughulikiwe kwan kasema uongoMwenyekiti wa UVCCM kakurupuka kwenye suala hilo,nashauri ashughulikiwe vikali
Ngoja tuone, kusema ukweli ndio kukurupuka KumbeMwenyekiti wa UVCCM kakurupuka kwenye suala hilo,nashauri ashughulikiwe vikali