Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai hamukumtetea, wakati ilikuwa simple kumteteaKama hukumuelewa Rais omba kueleweshwa na pia kuomba kueleshwa si kuonekana juha ila ni kupata elimu uliyokosa darasani au maishani.
Kauli ile Rais alikuwa anaitoa baina ya mawaziri na manaibu wao ambao mara nyingi wameonekana kugombana kisa safari na ziara. Na kwa tafsiri nyepesi kula kwa urefu wa kamba maana yake watakula kwa ukubwa wa cheo chao. Waziri hawezi kuwa sawa na naibu wake hata kama wote wanaapa kiapo kilekile au wanaapa mbele ya Rais.
Hivyo basi UVCCM wala yeyote hawezi kuhoji kauli ambayo inajieleza kwa marefu na mapana kwamba ni ukosefu wa uelewa wa watu ndio ikapelekea kuwa ajenda
Mawasiliano Ikulu waandike ufafanuzi. Haya maelezo yako hatuwezi kuyakubali kirahisi hivyo.Kama hukumuelewa Rais omba kueleweshwa na pia kuomba kueleshwa si kuonekana juha ila ni kupata elimu uliyokosa darasani au maishani.
Kauli ile Rais alikuwa anaitoa baina ya mawaziri na manaibu wao ambao mara nyingi wameonekana kugombana kisa safari na ziara. Na kwa tafsiri nyepesi kula kwa urefu wa kamba maana yake watakula kwa ukubwa wa cheo chao. Waziri hawezi kuwa sawa na naibu wake hata kama wote wanaapa kiapo kilekile au wanaapa mbele ya Rais.
Hivyo basi UVCCM wala yeyote hawezi kuhoji kauli ambayo inajieleza kwa marefu na mapana kwamba ni ukosefu wa uelewa wa watu ndio ikapelekea kuwa ajenda
Mmeanza kuwa wafafanuzi Kwa Kila kauli Sasa?Kama hukumuelewa Rais omba kueleweshwa na pia kuomba kueleshwa si kuonekana juha ila ni kupata elimu uliyokosa darasani au maishani.
Kauli ile Rais alikuwa anaitoa baina ya mawaziri na manaibu wao ambao mara nyingi wameonekana kugombana kisa safari na ziara. Na kwa tafsiri nyepesi kula kwa urefu wa kamba maana yake watakula kwa ukubwa wa cheo chao. Waziri hawezi kuwa sawa na naibu wake hata kama wote wanaapa kiapo kilekile au wanaapa mbele ya Rais.
Hivyo basi UVCCM wala yeyote hawezi kuhoji kauli ambayo inajieleza kwa marefu na mapana kwamba ni ukosefu wa uelewa wa watu ndio ikapelekea kuwa ajenda
kutetea tatizo ningumu, watanzania wanatambua watumishi wote niwaajiliwa nawanalipwa mshahara kutoka ktk kodi itokanayo na wananchi ambao ndio waajiri wao, kuna mapato gani wanayokula ktk ofisi zao? Ni mapato gani walioruhusiwa kura kiasi kuepuka kuvimbiwa? Je'ni mishahara yao,nani hatambui matumizi ya mshahara wake?Kama hukumuelewa Rais omba kueleweshwa na pia kuomba kueleshwa si kuonekana juha ila ni kupata elimu uliyokosa darasani au maishani.
Kauli ile Rais alikuwa anaitoa baina ya mawaziri na manaibu wao ambao mara nyingi wameonekana kugombana kisa safari na ziara. Na kwa tafsiri nyepesi kula kwa urefu wa kamba maana yake watakula kwa ukubwa wa cheo chao. Waziri hawezi kuwa sawa na naibu wake hata kama wote wanaapa kiapo kilekile au wanaapa mbele ya Rais.
Hivyo basi UVCCM wala yeyote hawezi kuhoji kauli ambayo inajieleza kwa marefu na mapana kwamba ni ukosefu wa uelewa wa watu ndio ikapelekea kuwa ajenda
Sana, sana kabisa. Inajulikana kuwa kila mtumishi wa umma ana mshahara ambao analipwa kwa stahiki ya kazi yake. Ni kitu gani cha ziada hicho ambacho tunaambiwa mawaziri wale kwa urefu wa kamba yao? Huko ni kuhalalisha ufisadi na wizi wa mali za umma. Cha kusikitisha ni kwamba kauli hiyo imetolewa na mkuu wan nchi. Ni hatari sana aisee. Masikini nchi yangu.Kuna mambo yanasikitisha sana...
Kuna mahali alisema mnazidishaKama hukumuelewa Rais omba kueleweshwa na pia kuomba kueleshwa si kuonekana juha ila ni kupata elimu uliyokosa darasani au maishani.
Kauli ile Rais alikuwa anaitoa baina ya mawaziri na manaibu wao ambao mara nyingi wameonekana kugombana kisa safari na ziara. Na kwa tafsiri nyepesi kula kwa urefu wa kamba maana yake watakula kwa ukubwa wa cheo chao. Waziri hawezi kuwa sawa na naibu wake hata kama wote wanaapa kiapo kilekile au wanaapa mbele ya Rais.
Hivyo basi UVCCM wala yeyote hawezi kuhoji kauli ambayo inajieleza kwa marefu na mapana kwamba ni ukosefu wa uelewa wa watu ndio ikapelekea kuwa ajenda
We ni mpumbavu sanaNdugai alihoji mikopo mkamlipua.
Je, hamuoni ipo haja ya kumlipua Mama?
Je, ipi ni dhambi kubwa kati ya kukosoa mikopo na kushauri viongozi wa serikali kula kidogo?
Naomba kuwasilisha!
Huku kijijini kwetu hatujafundishwa na hatujazoea kutafsiri vitu vikubwa kwa lugha nyepesi hivyo.Kama hukumuelewa Rais omba kueleweshwa na pia kuomba kueleshwa si kuonekana juha ila ni kupata elimu uliyokosa darasani au maishani.
Kauli ile Rais alikuwa anaitoa baina ya mawaziri na manaibu wao ambao mara nyingi wameonekana kugombana kisa safari na ziara. Na kwa tafsiri nyepesi kula kwa urefu wa kamba maana yake watakula kwa ukubwa wa cheo chao. Waziri hawezi kuwa sawa na naibu wake hata kama wote wanaapa kiapo kilekile au wanaapa mbele ya Rais.
Hivyo basi UVCCM wala yeyote hawezi kuhoji kauli ambayo inajieleza kwa marefu na mapana kwamba ni ukosefu wa uelewa wa watu ndio ikapelekea kuwa ajenda
Hakukuti hata robo yako lakiniWe ni mpumbavu sana
Wewe mavi kabisa imetoka sijui dabaga uswekeni mbwa wewe unajifanya unavamia kujibu sijui unamjibia muneo anakupasuaHakukuti hata robo yako lakini
Unajihisi unaweza sana kutukana bata wewe?Wewe mavi kabisa imetoka sijui dabaga uswekeni mbwa wewe unajifanya unavamia kujibu sijui unamjibia muneo anakupasua
Mwenyewe hajajibu we unamletea vitako vyako nitakupasua mbwa wewe nenda kale mbwa kwenu dabaga
Huna akili.Hio kula kidogo ilikuwepo ipo na itakuwepo hata Chadema au ACT wakijaaliwa kuiongoza jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haitaondoka ni mfumo duniani kote, sasa ulaji wenyewe uwe aste aste, inajulikana kwa methali ya Kiswahili ukila na kipofu sana sana Rais alikuwa aseme au aitoe methali hio, Mawaziri wajue kula na vipofu.
Ila Rais amenishangaza aliposema na kuwaonya watu wamuogope Mungu, kama Rais au Chombo cha Urais wanamuogopa Mungu basi wajiridhishe kuwepo na Tume Huru ya Uchaguzi vinginevyo itakuwa kustawisha baraza la mawaziri kwa tararira nyingi tu.
Kazi ipo na si kidogo.Mawasiliano Ikulu waandike ufafanuzi. Haya maelezo yako hatuwezi kuyakubali kirahisi hivyo.