babu bulicheka
JF-Expert Member
- Mar 26, 2021
- 822
- 1,048
Yule aliye Rip aliruhusu pesa ya brushSana, sana kabisa. Inajulikana kuwa kila mtumishi wa umma ana mshahara ambao analipwa kwa stahiki ya kazi yake. Ni kitu gani cha ziada hicho ambacho tunaambiwa mawaziri wale kwa urefu wa kamba yao? Huko ni kuhalalisha ufisadi na wizi wa mali za umma. Cha kusikitisha ni kwamba kauli hiyo imetolewa na mkuu wan nchi. Ni hatari sana aisee. Masikini nchi yangu.
Ukweli watawala hawa hawakuandaliwa kutawala embe chini ya mnazi