UVCCM ni Umoja wenye Vijana wasokua na Msaada kwa Taifa , wasoweza hata kuishauri Serikali Kwa faida ya Taifa

UVCCM ni Umoja wenye Vijana wasokua na Msaada kwa Taifa , wasoweza hata kuishauri Serikali Kwa faida ya Taifa

hivi nyie vijana wa chadema kwanini mmechagua mihemko na kuporomosha matusi kwa niaba ya kamati kuu taifa kama ndiyo identity yenu kwa umma?

Na ni nani aliwachagulia kamati kuu ya chadema Taifa kwamba uropokaji iwe ndio slogan ya kwenye mikutano yenu ya hadhara?

huo sio ulofa kweli gentleman?šŸ’
Ni mwendo wa kuporomosha matusi tu kwa wale wote wenye hoja kinzani
 
Wakuu mkikaa mkauchambua Huu Umoja ,kuanzia Kwa Viongozi wao, Wanachama, mitaani Kisha ingia mitandaoni,, Ama Kwa kuwasikiliza wanachongea au kusoma walichoandika, LAZIMA UKUBALIANE NAMM KUA NI UMOJA WENYE VIJANGA WAJINGA KWELIKWELI.

Kinachowapa vyeo Hawa wajinga ni ULOPOKAJI WAO TU , Wee fikiria, MTU kama Kibajaji ni Mbunge , Taletale ni Mbunge, hivi Hawa watu kweli Huwa wanaelewa kinachojadiliwa Bungeni??. ( LUAGA MPINA , Gwajima, hawakustahili kabisa kua CCM).

Hapa msichanganye Elimu na Intelligence, MTU anaweza kua na Degree lakini akawa ni MJINGA .

Embu jiulize, Ni lini Kijana wa CCM kawahi toa CHAPISHO mtandaon au kuzungumza tu ,akiishauri Serikali juu ya jambo Fulani? Kwa mfano, UVCCM akaja na utafiti wenye majibu wa namna gani ya kupunguza Tatizo la Ajira nchini?

Mimi Kwa umri wangu Huu, SIJAWAHI kutana na Kijana wa UVCCM ama nlosoma maandiko yake au kumsikiliza, akanishawishi kiasi cha kusifu hapa 'Taifa Lina Kijana'.

Angalia wenzao wa CHADEMA, mchukue MAHINYIRA, au tu huyu Dada BRENDA , alafu walinganishe na MWENYEKITI WA UVCCM ,utagundua Mwenyekiti wa UVCCM ni Makande alafu Vijana wa CHADEMA ni PILAU KUKU .
Marehem HAYATI MSUYA alikua sahihi sana aliposema "CHADEMA WANAFAKARI MAMBO KWA KINA".

By the way, Huwezi kua mwenye Uwezo mpana wa Akili , ukawa huru kifikira na kitumbo alafu eti ukawa mwanaCCM, ni ngumu Mnooo!!.

Itoshe tu kusema ,UVCCM Ina Vijana wajinga toleo la Mwisho la wajinga !!
Una uhakika hawasaidii nchi?
 
Kuna Siku, Tlaatlaah aliandika CHAPISHO humu akiwaambia Jeshi la Polisi '' Jeshi la Polisi lizuie wananchi kufika Mahakamani kesi ya LISSU Kuna Fujo wanalenga kuleta'

Huwezi amini ,Muliro na Genge lake, nao waliposoma, wakapiga Marufuku kweli, nandi ile siku walivunja watu miguu.

Sasa ajabu, Mahakama ,ikaja kuwaonyesha namna gani walivyo Wapumbavu .

Nilishangaa sana, JESHI LA POLISI linalojiita lenye Intelijensia, linafanyia kazi habari za mitandaoni bila kuzichakata, hapo nikagundua TUNA GENERATION YA VILAZA WAMEJAA POLISI, BUNGENI .

Ushahidi mwingine ni Mawakili wa Serikali, Kesi ya LISSU inaendelea, wenyewe wanachatu na kuongea na simu🤣
Epuka upotoshaji gentleman,
kwasababu ya weledi wangu kuhusu masuala ya nchi hii, singependa kujadili shauri lililoko mahakamani,

hata hivyo,
ni vizur kuelewa kwamba kila raia ana haki na uhuru wa kuhudhuria mahakamani na kufuatilia mashauri ya kesi mbalimbali yanavyoendeshwa kwa uwazi, uhuru na haki na mahakama zetu huru nchini,

Lakini ndugu zangu wadau, tuna changamoto ya nafasi finyu za mahakama kwa watu wengi zaidi kupata fursa hiyo ya kufuatilia kesi kwa uhuru, na kwahivyo Jeshi la police nchini linawajibika kudhibiti idadi ya wananchi wanaofaa kuingia mahakamani kulingana na nafasi ili kuepusha matatizo ya kiusalama na kiafya yanayoweza kuawathiri wananchi ikiwa ni pamoja na kukosa hewa kwenye msongamano na pengine kusababisha maafa na uharibifu.

Jeshi la police nchini litasimamia hilo bila mbambamba yoyote na kuishauri mahakama kutumia mtandao ili kuepusha msongamano šŸ’
 
Mna nafasi finyu, Sasa mbona Mahakama wameliruhusu ? Ukiachilia mbali kua ni Haki ?

Nyinyi ni vilaza
 
hivi nyie vijana wa chadema kwanini mmechagua mihemko na kuporomosha matusi kwa niaba ya kamati kuu taifa kama ndiyo identity yenu kwa umma?

Na ni nani aliwachagulia kamati kuu ya chadema Taifa kwamba uropokaji iwe ndio slogan ya kwenye mikutano yenu ya hadhara?

huo sio ulofa kweli gentleman?šŸ’
Kwanini kila jambo linaloongelewa na watu wa vyama vya upinzani mnaita ni UROPOKAJI?
Wewe ni kada wa CCM na watu wanakubaliana na hilo, je katika yote wapinzani wanayoongea ni uwongo? Je wanaposhauri serikali ilekebishe mahala fulani au CAG anapotoa reports za ukaguzi na wapinzani wakatoa maoni yao nayo ni UROPOKAJI?
Nijibu kaka bila mihemuko kwaajili ya kujenga taifa letu
 
Mna nafasi finyu, Sasa mbona Mahakama wameliruhusu ? Ukiachilia mbali kua ni Haki ?

Nyinyi ni vilaza
hebu hata wewe ndugu mropokaji fikiria,
chumba cha mahakama kina uwezo wa kujaza watu wasio zidi50, na tayari mtuhumiwa ana mawakili31, achilia mbali mawakili wa serikali, watumishi wa mahakama, walinzi n.k

sasa,
malofa mnaolazimisha kutaka kuingia mahakamani kufuatilia kesi hiyo mtaketi wapi hata nanyi mpate fursa na nafasi nzur zaidi ya kufuatilia kesi hiyo?

hakuna polisi wa kuruhusu mwanachadema alazimishe kuingia kwenye chumba cha mahakama kisicho na nafasi ya kutosha ili atakae faint kwa kukosa hewa kwasabb ya msongamano.
Hakutaruhusiwa upuuzi kama huo gentleman.

raia wana haki na uhuru wa kufuatilia kesi na sio kuilazimisha kwenda kupoteza maisha kwa kufaint kwenye msongamano wa watu kwa kukosa nafasi na hewa kwenye chumba kidogo cha mahakama.
That one will not be allowed šŸ’
 
Kwanini kila jambo linaloongelewa na watu wa vyama vya upinzani mnaita ni UROPOKAJI?
Wewe ni kada wa CCM na watu wanakubaliana na hilo, je katika yote wapinzani wanayoongea ni uwongo? Je wanaposhauri serikali ilekebishe mahala fulani au CAG anapotoa reports za ukaguzi na wapinzani wakatoa maoni yao nayo ni UROPOKAJI?
Nijibu kaka bila mihemuko kwaajili ya kujenga taifa letu
Gentleman,
yaan hao wangwana jukumu lao muhimu ni kutafuta kiki na kuatract public sympathy.

na ili kupata hayo kuropoka na kuporomosha matusi mazito mazito ndio slogans zao za kufanikisha azma hiyo potofu.

Na uropokaji kwasabb ni identity ya kamati kuu ya chadema Taifa na kuporomosha matusi mazito mazito ni identity ya vijana wa chadema na wanachadema wote kwa ujumla šŸ’
 
nitajie Mwanachadema mwenye Akili aliwahi kukihama chama ??

Nitajie

Yaan uwe na akili alafu uondoke CHADEMA ,uende CCM??

Sikiliza sifa Moja wapo ya MTU mwenye Akili, ni kujalisha Utu, Haki .

Umewahi jiuliza kwann watu wajinga hata makazin, Silaha yao ni majungu, uchawi, fitina na Kila aina ya UKATILI??.
Mkuu, mbona kama unataka kujitoa akili.
Kwahy hawa G55 ushawasahau mapema hii, mbona hukuwah kusema n wapumbavu kipindi wakiwa chadema.
 
Mkuu Hawa sio tu Et Kuna asali ndio maana wako hivo, la Hasha .

Ni wajinga yaani ni wajinga mbumbumbu ila Wana vyeti.

Kuna namna MTU akiwa anaongea, uzito wa mazumgumzo yake, unajua huyu ni mjinga ila ana degree.

Mfano tule tujamaa twa 'mama asemewe ', ulikua unawaelewa ???.
siwez muelewa kwasababu sijalamba asali ila trust me yuleyule angekua mpinzan angekua anaongea ungemkubal
 
Back
Top Bottom