PreGE2025 UVCCM Tanga: CHADEMA amueni kushiriki Uchaguzi au la, si kuchochea vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga ndugu Ramadhani Ally Omary (Somo) amewataka viongozi wa chama cha maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kuwa na msimamo kwa wanachokitaka kama kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu au kutoingia.

Mwenyekiti wa vijana amewasihi watanzania kuacha kuwasikiliza na kuwapuuza wana siasa wenye lengo la kuleta uchochezi kwa viongozi wao na kutaka kuleta machafuko ya kupoteza amani iliyotafutwa na kulindwa kwa gharama kubwa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwenyekiti Ramadhani Ally Omary (Somo) ameyazungumza hayo akiwa Wilayani Korogwe Mjini, kwenye ufungaji wa kambi ya mafunzo kwa vijana wa wilaya hiyo.

Somo arudi Veta akapate masomo aache upumbavu
 
Huyu nae bure kabisa, hajui kwamba zama zimebadilika’
 
Sasa chadema waamue vipi wakati mwenyekiti wao wa tume amesema Chadema hawana sifa tena ya kushuriki! Huyu dogo vipi
 
Hivi wanakufaje watu wa maana wanabaki mazezeta kama hilo lindezi 🤔🤔 Mungu hapangiwi kweli
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga ndugu Ramadhani Ally Omary (Somo) amewataka viongozi wa chama cha maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kuwa na msimamo kwa wanachokitaka kama kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu au kutoingia.

Mwenyekiti wa vijana amewasihi watanzania kuacha kuwasikiliza na kuwapuuza wana siasa wenye lengo la kuleta uchochezi kwa viongozi wao na kutaka kuleta machafuko ya kupoteza amani iliyotafutwa na kulindwa kwa gharama kubwa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwenyekiti Ramadhani Ally Omary (Somo) ameyazungumza hayo akiwa Wilayani Korogwe Mjini, kwenye ufungaji wa kambi ya mafunzo kwa vijana wa wilaya hiyo.

UVCCM hicho ndio kikundi cha wahuni na wadhohofu wa akili watupu.
 
Mwambieni huyo mshenzi anayejiita mwenyekiti aache upumbavu.
 
Reform muhimu,ndio election ifanyike.
Wananchi waamue hatma ya nchi yao
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga ndugu Ramadhani Ally Omary (Somo) amewataka viongozi wa chama cha maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kuwa na msimamo kwa wanachokitaka kama kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu au kutoingia.

Mwenyekiti wa vijana amewasihi watanzania kuacha kuwasikiliza na kuwapuuza wana siasa wenye lengo la kuleta uchochezi kwa viongozi wao na kutaka kuleta machafuko ya kupoteza amani iliyotafutwa na kulindwa kwa gharama kubwa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwenyekiti Ramadhani Ally Omary (Somo) ameyazungumza hayo akiwa Wilayani Korogwe Mjini, kwenye ufungaji wa kambi ya mafunzo kwa vijana wa wilaya hiyo.

Wapumbavu
 
Attachments

  • 6038435-755cbf8e8abba2ddd81d430945073b11.mp4
    5.6 MB

Back
Top Bottom