UVCCM tupo wengi tukilinde chama chetu kwa nguvu zetu zote

CHAMA CHA WAUAJI KIMEUA VIJANA ZAIDI I0ALFU PAMOJA NA WATOTO.KINANUKA DAMU.KWISHA HABARI ZENU.
 
Aliyeanza kuua chama ni Magufuli na ndipo alipanza kukizika.
Haya madhila yote yanatokana na aina ya uongozi wa Magufuli aliokuwa anaufanya.

Kiufupi Magufuli ndio chanzo cha haya mambo yote,yamkini angekuwepo yeye hiki tulichokiona tarehe 29 kingekuwa zaidi.

Magufuli ndio aliyeanza kuharabu sheria,taratibu na kanuni kuanzia chamani mpaka kwenye nchi.

Magufuli ndio muasisi wa watu kutekwa na kupotezwa.

Magufuli nduo chanzo cha wapinzani kuanza kuuwawa.
 
Wewe hacha upuuzi wako,hata tukura aliotupata samia kabla ya vurugu ni sababu ya Magufuli na miradi yake, Magufuli alichukiwa na mafisadi kama Wewe,kama unabisha nenda YouTube au Facebook angalia hotuba za Magufuli, linganisha na viongozi wote waliwai kuongoza Tanzania ninani anayefatiliwa zaidi hotuba zake.Mpaka Sasa kama Sio Magufuli CCM ilikwisha zikwa zamani.
 
Tuna kila sababu ya kukisemea chama chetu na serikali yetu chini ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…