UVCCM tusikae kimya

Uvccm ni spika ya mwenyekiti wa kijani,ni vijana wahovyo wasio jielewa,kazi yao kuu ni kuimba mapambio,wao ni kama toilet pepa,
 
Imeisha hiyo! Mboe oyee
 
Azimio limepitishwa Kwa kishindo. Tunasubiri maandamano ya DJ mboe
 
Kitenge for area MP
 
Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
Kila ninaposikia wanapotosha sioni mkiusema ukweli wa huo mkataba. Onyeseni ,Kwa mfano mkataba una ukomo, nimiaka mingapi. Hawatalipa kodi, kwamba ni uongo serikali haitatoa taarifa Kwa dp ikiwa inataka kufanya shughuli yeyote ktika maeneo ya bandari zetu na wakubali. Kwamba ni uongo mkataba huu hautavunjwa Kwa sababu yeyote Ile Kwa pande zote mbili!njoni na kilicho kinyume na hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…