UVCCM tusikae kimya

UVCCM tusikae kimya

Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
UVCCM baada ya kupitia mkaba kifungu kwa kifungu nakujilidhisha tumesikitishwa sana nakitenda cha uzaji wa Bandari zetu kwa mwarabu, tumeamua kuungana na Bavicha na Watanganyika wenzetu kuzidai.
 
Mkataba ulishainiwa tangu mwez1 November 2022, kwa nini walikaa nao kwapani na kuuleta bungeni kwa hati ya DHARURA June 2023??? Kwa nini haukuletwa mapema tukaujadili kwa kina - why dharura??
Je Bunge lilikuwa na uwezo wa kuukataa wakati ulishainiwa kwa maelekezo ya Rais? Matokeo yake yangekuwaje??
Hayo ndiyo waliyoogopa wabunge maana rais angeweza kulivunja bunge na kuitisha uchaguzi ambao wote walioukataa CCM isingewarudisha. Angalia uteuzi wa tume ya uchaguzi - wanaopinga huo mkataba watatoboa kwenye uchaguzi!

Quote
 
Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
ungeandika hivi Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari
Hayo uliyoongezea ya wapinzani inaonekana lengo ni kupambana na wapinzani waakti katika hili vyama vimewekwa pembeni tunapambania maslahi ya nchi tena Tanganyika
 
Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
Inawezekana hata hujui unachosema wanapotosha, upo tu unataka ukapige kelele, na vile sifa zenu kubwa ni kujua kusoma na kuandika tu, ni shida sana!
 
Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
Akili zenu mbovu sana, maana kila anayewakosoa mnamuona ni mpinzani. Acheni ujinga vijana wa hovyo tafuteni kazi za kujisimamia msitegee ChiChiemu tu.
 
Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
Siyo bandari tu. Uzeni rasilimali na maliasili zote, madini, wake zenu, watoto wenu wa kike na hata wakiume. Waarabu watajuwa la kuwafanya wote
 
Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
Vijana wa UVCCM kama wewe ambaye anafungua uzi na kuandika mistari mitatu ndio watakuwa na uwezo wa kujibu hoja kweli!!??
UVCCM ilikuwa miaka ya 2000 kwenda nyuma huko.
 
Hata kwenye ununuzi wa ndege ya Rais wapinzani walikuwa wanapotosha.

Hata kwenye mkataba wa Richmond wapinzania walikuwa wanapotosha sana.

Hata kwenye mkataba wa Tegeta IPTL ikazaliwa Escrow wapinzani walikuwa wanapotosha sana.
 
Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 Iko wazi, haikuwapa wagombea, Magu na Makamo Sa100 ruhusa kuuza bandari zote za bara Kwa mwarabu,

Haikubaliki kuuza ardhi, watoto wa watoto wetu watakuwa watumwa.

Sa100 must go!!!!

Unaujua utumwa
 
Back
Top Bottom