Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
UVCCM baada ya kupitia mkaba kifungu kwa kifungu nakujilidhisha tumesikitishwa sana nakitenda cha uzaji wa Bandari zetu kwa mwarabu, tumeamua kuungana na Bavicha na Watanganyika wenzetu kuzidai.Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.