Pre GE2025 UVCCM wa UDSM wasema Fomu ya Mgombea Urais itolewe Moja tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duh..
Hawa madogo wameamua kuwa chawa wa kutupwa!
Hovyo kabisa
 
UDSM sekondari school.
 
Inamaana Samia haaminiki na hakubariki? Mbona mnamtengenezea mazingira ya kum protect sana?

Ina maana watz tunaanza kuukataa ule usemi wa chema chajiuza?
 
Chawaaaa
 
Boss
Ukiona hizi kelele za single form zinazidi ujue ni dalili ya kukata tamaa.

WanaCCM wamekata tamaa
Mbeba maono amekata tamaa.

Mbinumbinu ndo zitatumika. Tujiandae na misiba isiyo na kichwa wala miguu.

Kila nafsi itaonja....
 
Ngoja wamalize chuo. Akili zitakaa sawa
 
Hebu fikiria hawa ndiyo wako elimu ya juu lkn hawatambui umuhimu wa demokrasia ndani ya chama???!!

Wasomi wazima wanataka kuziba mkondo wa demokrasia ndani ya chama. Aibu naona mimi.

Hii nchi aliyeturoga kafariki
Huyu sio msomi ni "chawa pro max"
 
Mimi sielewi demokrasia ya CCM and Tanzania kwa ujumla. Ikiwa CCm in wanachama na wafuasi zaidi ya milioni tano nchini alafu wanatoa fomu moja tu kwa mgombea jee hii kweli demokrasia au Udikteta? Yaani mtu mmoja ndiye anayefaa pekee kati ya watu milioni tano?
 
Achana na hao form ten
 
Hao wapiga punyeto na wameza P2 ndio mtaji wa ccm
 
Takataka kama hiyo inakuja kupewa uongozi.Kama kiongozi wao anatoa boko kama hilo sasa hawa walio chini yake si takataka kabisa
 
Mkubwa kuliko wote kwenye Chama ni Mwenyekiti !!
Atakachoamua Mwenyekiti ndio final !
Kwa kilatini Wanasemaga β€œLocuta causa finita β€œ πŸ˜‚πŸ™πŸ™
Mengine ni Abracadabra tu !! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…