johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kila kona wanasikika Bavicha tu mara wamepeleka tende kwa wale Uamsho kwa ajili ya sikukuu mara wanasindikiza malori ya TBL yanayopeleka bia wilayani Hai, lakini wenzao wa UVCCM hawasikiki kabisa sikukuu hii.
Ni kawaida ya UVCCM kutembelea wagonjwa na watoto yatima wakati wa Eid El Fitr na kugawa zawadi lakini zamu hii wako baridi kabisa, hawasikiki.
Au ni kwa sababu ya Corona ya India wanaogopa kusongamana?
Eid Mubarak!