johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wenyewe kwa sasa wameamua kutulia kukijenga chama,kwani sii muda wakubweteka tena,kwani tuendako dola na chama,vitasimama kwa miguu yake yenyewe.Washauri vyema ndugu Joni waache kuishi kwa mazoea ,mambo yamebadilika,walisha usahau ushindani wa hoja,na ushindani wa ushawishi na kuwekeza kwenye ubabe na hila katika kufanikisha mipango na malengo yao.Kwa sasa ni kama wamedhamiria kubadilika,japo sii wa kuwaamini kwa hatua hizi za mwanzo.Kila kona wanasikika Bavicha tu mara wamepeleka tende kwa wale Uamsho kwa ajili ya sikukuu mara wanasindikiza malori ya TBL yanayopeleka bia wilayani Hai, lakini wenzao wa UVCCM hawasikiki kabisa sikukuu hii.
Ni kawaida ya UVCCM kutembelea wagonjwa na watoto yatima wakati wa Eid El Fitr na kugawa zawadi lakini zamu hii wako baridi kabisa, hawasikiki.
Au ni kwa sababu ya Corona ya India wanaogopa kusongamana?
Eid Mubarak!
Nimekuelewa bwashee...... Ukiona kobe kainama!Wenyewe kwa sasa wameamua kutulia kukijenga chama,kwani sii muda wakubweteka tena,kwani tuendako dola na chama,vitasimama kwa miguu yake yenyewe.Washauri vyema ndugu Joni waache kuishi kwa mazoea ,mambo yamebadilika,walisha usahau ushindani wa hoja,na ushindani wa ushawishi na kuwekeza kwenye ubabe na hila katika kufanikisha mipango na malengo yao.Kwa sasa ni kama wamedhamiria kubadilika,japo sii wa kuwaamini kwa hatua hizi za mwanzo.
Basi atunge Sheria za kurekebisha mapungufu, yote yaliyowafikisha walipo.Kwa manufaa ya taifa na suit chama kama tulivyozoeaNimekuelewa bwashee...... Ukiona kobe kainama!