UVCCM wamemtishia nini Anthony Diallo?

Huo ndiyo ukweli hata kama maccm kama yanataka kuukimbia. Dhalimu mwendazake alikuwa mwendawazimu.
Aaahh wapi! Ukimgusaa JPM unanuka ww JPM kaacha alama kubwaa kwa watz waadilifu, lakin pia kaacha vidondaa vikubwaa sana kwa watz wezi, wapuuzi wala rushwaa..wenye vyeti fake na wajinga kama kina BAK.
 
Ila ni kweli watakuwa wamemtisha ,hata hivyo waliotoa maoni hasi dhidi ya utawala wa past tense ni wengi sio yeye tuu lakini hili la sasa halijakaa sawa.

Huenda si tuu ni ukosefu wa uhuru ndani ya Ccm bali ikawa hata kwa Raia wa kawaida.
 
Reactions: BAK
Aaahh...wapii..ukimgusaa pjm unanuka ww..jpm kaacha alama kubwaa kwa watz waadilifu..lakin pia kaacha vidondaa vikubwaa sana kwa watz wezi...wapuuzi..wala rushwaa..wenye vyeti fake...na wajinga kama kina BAK
Labda kwa maccm kaacha alama ila kwa wasio na vyama wanamgusa vizuri sana na hakuna kinachofanyika
 
ukimsema bibaya marehemu wewe ni mwendawazimu .

Unapomsema vibaya marehemu kumbuka kuwa ameacha watoto ,mjane,ndugu ,jamaa na marafiki.

CCM mfukuzeni huyu othetwise subirini anguko kubwa 2025.Mtaambiwa kuwa ninyi ni chama cha vichaa( CCV) kwa sababu mlichagua kichaa mwenzenu maana ndege wafananao huruka pamoja.
 
Tumshukuru sana Mwenyezi Mungu. 🙏🏾
Jamaa alikuwa anasimama na kuchungulia kwenye "viieiti" ghaflaghafla huku gari lipo kwenye mwendo mkali eti anawasalimia wananchi!Siyo ukichaa huo?😝😝😝😝😝
Kufa kwako
Kufa kwako hakufuti upumbavu wako Umeacha legacy ya kipompompo hautaki usimangwe??😝😝😝😝
 
Hofu yangu ni Polonium na Novichock kwake!kama Mangula yalimkuta kama mzito wa kijani yeye ni nani???akamuombe Mungu amsaidie Kijani sio wa Mchezo wasije waka m erase kabisa!!!
 
Mwendazake kwao wanatatzo hlo la ukichaa
 
Jamaa alikuwa anasimama na kuchungulia kwenye "viieiti" ghaflaghafla huku gari lipo kwenye mwendo mkali eti anawasalimia wananchi!Siyo ukichaa huo?😝😝😝😝😝
Hahahahaha! Inaelekea mzee kuna fyuzi zilikua zimelegea kichwani…
Mpaka kada mwenzie wa chama amekiri hadharani kwamba kuna file lake dodoma
 
Labda kwa maccm kaacha alama ila kwa wasio na vyama wanamgusa vizuri sana na hakuna kinachofanyika
Ww utaishia kumgusia huku huku jf kwa jina lisilo halisi..kama unabisha ebu toka kwenye vyombo vya habari kisha ujambe jambe huo ujambo wako kuhusu jpm..hutachukua round..you will be castrated yooo...
 
UVCCM WAMEMTISHA DKT. ANTHONY DIALLO NA AMEKUBALI KUTISHIKA!

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Dkt. Anthony Diallo alizungumza na kutoa maoni yake na ulimwengu umemsikia. Alipokuwa akiongea alionekana kuwa timamu...
Bunge na Makao Makuu yalipelekwa Dodoma kwa sababu wanasiasa wetu wana akili ya kuku na wawe karibu na Mirembe Hospitali. Matibabu mazuri sana hapo, lakini naona hayawasidii. CCM ilikuwa ya kwanza kuhamia huko maana tuna mabata hayo kama hayo Diallo, hata intensive therapies bado hazijasaidia.
 
nyie si wazee wa kudandia kila kokoteni bovu,haya nendeni na diallo sasa maanina.

mwenyewe anakiri hakukusudia kueleweka vibaya.baada ya kuona watz na vijana wa chama chake wanamsimanga wazi wazi amegeuza kauli...

Katafute mafala wa hivyo, huyo Diallo ni mchafu mwenzenu, hivyo mnaweza kumtisha na lazima atishike. Lakini ukweli una tabia moja, hata uukanushe ukiwa uchi haubadiliki. Hivi huyo Diallo anaweza kukanusha alichosema, ila hawezi kubadili ukweli wa alichosema fullstop.
 
Reactions: BAK
Kama mwenyekiti wa CCM alishiriki kumleta kichaa kwa hiyo awajibike
 
Vyoyote vile watakavyo remba sisi tunatembea na kauli ya mwanzo ya dr.Diallo alipozungumza akiwa huru, mwenye utulivu na akili timamu na tulimwelewa sana
 
Sisi kazi yetu ni kwenda pale Milembe tukalitafute lile Jarada.....Diallo kasema ukweli wasimtishe , kiongozi wa UVCCM kazaliwa Jana, Diallo ni mkongwe umri Sawa na Jiwe , amekaa na jiwe ukanda huo mda mrefu anamjua nje ndani ...
kwenye mazungumzo mbona Diallo hakumtaja mtu, hii mambo inakuwaje,niikutanaga na uzi humu kwamba ndugai ana file mirembe hadi yeye mwenye alisema msinijaribu nina file mirembe labda ndo yeye
 
kwenye mazungumzo mbona Diallo hakumtaja mtu, hii mambo inakuwaje,niikutanaga na uzi humu kwamba ndugai ana file mirembe hadi yeye mwenye alisema msinijaribu nina file mirembe labda ndo yeye
Kwani ndugai ashawahi kuwa overall commanding officer wa hii nchi? Tunazungumzia top highest command
 
Reactions: BAK
Wamemwambia Anthony Diallo anazeeka vibaya.
Uzi wake nimeubandika tayari.
"Antony Diallo anazeeka vibaya"
 
Aaahh...wapii..ukimgusaa pjm unanuka ww..jpm kaacha alama kubwaa kwa watz waadilifu..lakin pia kaacha vidondaa vikubwaa sana kwa watz wezi...wapuuzi..wala rushwaa..wenye vyeti fake...na wajinga kama kina BAK
Alikuwa mtu wa ajabu sana. Alikuwa na uwezo wa kuwafanya watu wamini wako mbinguni wakiwa hapahapa duniani. Imani hiyo bado ipo miongoni mwa masalia waliomvika utukufu. Na hili linawafanya watetee imani yao hata kwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…