UVCCM wamemtishia nini Anthony Diallo?

UVCCM wamemtishia nini Anthony Diallo?

yeye ndiye anajua maana ya alichosema,amekanusha wewe hutaki.

nikisema ungana naye unaona nakuonea.hajatishwa maana magufuli wa kufanya hayo amefariki.
mbali na maneno ya Diallo,wewe binafsi huyo mtu ulikuwa unamuona sawa?! anakula mhindi jukwaani?kweli rais ni wa kula mhindi jukwaani na kuwaambia kina mama mnataka mpanuliwe wapi 😥😥😥😥
 
Kwani siku hizi hakuna vikao vya ndani?
Kuna mtu atakujapata Dr ya uandishi wa kitabu kwa uongozi wa awamu ya 5 kwa kutumia mabishano ya chama tawala.
 
Mwingine ambaye hajatishwa huyu hapa na samia hakutia neno.
2817110E-A1C1-47EE-AA40-F69184F1BEA3.jpeg


Hajatishwa ila kakubali yaishe, ndiyo busara na uungwana...
 
Dialo amenena ya moyoni kuhusu mwendazake, kuna wapuuzi bila haya wala aibu kusemwa huyu dikteta wanaona ni dhambi ya mauti! Enyi mliolaaniwa kumbukeni kuwa hasemwi yeye bali yanasemwa matendo yake. Kaeni kimya tena fungeni mabakuli yenu machafu!
 
mbali na maneno ya Diallo,wewe binafsi huyo mtu ulikuwa unamuona sawa?! anakula mhindi jukwaani?kweli rais ni wa kula mhindi jukwaani na kuwaambia kina mama mnataka mpanuliwe wapi [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

kwani rais ni mzimu!!!

wee jamaa vipi??
 
Ni sawa na mtu aseme jua linatokea mashariki kwenda magharibi, kisha atishiwe usalama wake aseme hakuaminisha jua linatokea mashariki. Ukweli alishausema, hivi sasa anachofanya ni kuwatuliza msije mkamng'oa kucha fullstop.

ukisema jua linazama magharibi,huo sio ukweli unarudia maelezo.

hilo la diallo halijawahi kuthibitika popote,atueleze alilijulia wapi kabla tumhoji kama mjumbe wa ccm mkoa,kuropoka kama chadema kaanza lini???
 
ukisema jua linazama magharibi,huo sio ukweli unarudia maelezo.

hilo la diallo halijawahi kuthibitika popote,atueleze alilijulia wapi kabla tumhoji kama mjumbe wa ccm mkoa,kuropoka kama chadema kaanza lini???

Tulia ww bendera fuata upepo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Maccm yamekumbatia UNAFIKI. Pamoja na huyo mwendawazimu kutokuwepo lakini bado yanamtetea na kumuenzi hadi kufikia kutoa vitisho kwa kusema kweli kuhusu yule mwendawazimu.

Huyu anaelekea njia ya Membe, watamfukuza làbda Samia apotezee lkn pressure ya wahafidhina sidhani kama atai- resist
 
Back
Top Bottom