OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
mbali na maneno ya Diallo,wewe binafsi huyo mtu ulikuwa unamuona sawa?! anakula mhindi jukwaani?kweli rais ni wa kula mhindi jukwaani na kuwaambia kina mama mnataka mpanuliwe wapi π₯π₯π₯π₯yeye ndiye anajua maana ya alichosema,amekanusha wewe hutaki.
nikisema ungana naye unaona nakuonea.hajatishwa maana magufuli wa kufanya hayo amefariki.
Kwakuwa hiyo radhi haitoki moyoni mwake na si kwa hiari yakeHalafu ukimuangalia vizuri Diallo aliyekuwa anaomba radhi utagundua kwamba wala alikuwa hamaanishi kile alichokuwa anaongea
Katishwa...katishikaSasa kama ameshasema nchi ilikuwa inaongozwa na kichaa aliyetaka kuihamishia mbuga ya serengeti kijijini kwake anaomba radhi kitu gain wakati watz wote kasoro walinda legacy tumemuelewa
Kweli Mungu ni FundiTumshukuru sana Mwenyezi Mungu. ππΎ
mbali na maneno ya Diallo,wewe binafsi huyo mtu ulikuwa unamuona sawa?! anakula mhindi jukwaani?kweli rais ni wa kula mhindi jukwaani na kuwaambia kina mama mnataka mpanuliwe wapi [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Ni sawa na mtu aseme jua linatokea mashariki kwenda magharibi, kisha atishiwe usalama wake aseme hakuaminisha jua linatokea mashariki. Ukweli alishausema, hivi sasa anachofanya ni kuwatuliza msije mkamng'oa kucha fullstop.
je hii inaondoa ukweli kwamba mliteua mgombea mwehu?
ukisema jua linazama magharibi,huo sio ukweli unarudia maelezo.
hilo la diallo halijawahi kuthibitika popote,atueleze alilijulia wapi kabla tumhoji kama mjumbe wa ccm mkoa,kuropoka kama chadema kaanza lini???
Huyu anaelekea njia ya Membe, watamfukuza lΓ bda Samia apotezee lkn pressure ya wahafidhina sidhani kama atai- resist