Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ingekuwa Enzi za Hayati Mafufuli basi Baba levo na Steve Nyerere wangepata Teuzi aidha ndani ya Chama au Serikalini.
Wameonesha uwezo na ujasiri kutete falsafa na maono ya mwenyekiti CCM Taifa Dr Samia Suluhu kuliko Wasomi wengi wa uvccm na Makada nguli.
Baba levo nilimsikia juzi akiwa kipindi cha Wasafi Media. Bado ana hoja ambazo akina Ali Hapi, akina Muro na Akina Shaka hamdu Shaka zimewashinda.
Huu ni ujasiri wa ajabu.