Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Unataka tuwataje?Magufuli hakuwa anayeua vilaza banah! Na ata angekuwa yeye ndiye Rais wala asingekubali ayo masharti ya DP World
TajaUnataka tuwataje?
Ndio maana kwa sasa amekuwa backup ya CCM. Yaani kazi ambayo ingefanywa na Team nzima ya UVCCM anaifanya kamanda Baba Levo.Baba Levo hakuwahi kuwa UVCCM , aliwahi kuwa diwani wa kigoma wa ACT , na alifungwa jela na ule utawala wa kikatili , ila sasa kutokana na kutaka Makubwa na uchawa ndio maana anadhalilika
Naona machawa mnapigiana kampeni za uteuzi, au ni wewe mwenyewe unajipa promo humu, hayo mambo peleka facebookNdio maana kwa sasa amekuwa backup ya CCM. Yaani kazi ambayo ingefanywa na Team nzima ya UVCCM anaifanya kamanda Baba Levo.
Face book wapi? Uvccm mko wapi? Mmeshindwa kutetea chama chenu kwenye biashara?Naona machawa mnapigiana kampeni za uteuzi, au ni wewe mwenyewe unajipa promo humu, hayo mambo peleka facebook
MSGTumewaambia vijana wote waacheni wanaopinga wajitekenye wenyewe wacheke wenyewe. Sisi kazi iendelee.
Waacheni wabwabwaje na kuhororooja wenyewe kwa wenyewe. Mradi sisi tumeshawajuwa kina nani wala hawatupi shida.
Acha ujinga. Dr. Magufuli aache kutumia maprof atumie vilaza kweli?Ingekuwa Enzi za Hayati Mafufuli basi Baba levo na Steve Nyerere wangepata Teuzi aidha ndani ya Chama au Serikalini.
Wameonesha uwezo na ujasiri kutete falsafa na maono ya mwenyekiti CCM Taifa Dr Samia Suluhu kuliko Wasomi wengi wa uvccm na Makada nguli.
Baba levo nilimsikia juzi akiwa kipindi cha Wasafi Media. Bado ana hoja ambazo akina Ali Hapi, akina Muro na Akina Shaka hamdu Shaka zimewashinda.
Huu ni ujasiri wa ajabu.
Akina Sabaya na MakondaAcha ujinga. Dr. Magufuli aache kutumia maprof atumie vilaza kweli?
Uvccm......mbona Faiza hukuunga mkono SGR tatizo ni mradi au ni mtu??Tumewaambia vijana wote waacheni wanaopinga wajitekenye wenyewe wacheke wenyewe. Sisi kazi iendelee.
Waacheni wabwabwaje na kuhororooja wenyewe kwa wenyewe. Mradi sisi tumeshawajuwa kina nani wala hawatupi shida.
Natamami uvccm waunge mkono kama wanavyounga mambo mengine yasiyo na maana. Naona wamekula nduki,,😅😅Kuna mzee Warioba, kuna Issa Shivji, kuna Tibaijuka, kuna Tundu Lisu, kuna TLS, kuna kadinali Pengo, kuna BAKWATA, kuna Dr. Shoo na wengine wengi wenye akili zao.
Mleta mada amechagua kumsikiliza Bba Levo!
Mleta mada ni mpuuzi wa mwisho yani mtu mwenye akili zake anaweza kusikiliza hoja kutoka kwa baba levo ?Kuna mzee Warioba, kuna Issa Shivji, kuna Tibaijuka, kuna Tundu Lisu, kuna TLS, kuna kadinali Pengo, kuna BAKWATA, kuna Dr. Shoo na wengine wengi wenye akili zao.
Mleta mada amechagua kumsikiliza Bba Levo!
Je ccm iliyowatuma nao ni wapuuzi?Mleta mada ni mpuuzi wa mwisho yani mtu mwenye akili zake anaweza kusikiliza hoja kutoka kwa baba levo ?
wewe kwa akili yako unaweza kumsikiliza mtu aliyesema angekuwa mwanamke angemzalia mwanaume mwenziye, na wapi walikwambia wamemtuma aitetee ccm?Je ccm iliyowatuma nao ni wapuuzi?