Pre GE2025 UVCCM wapiga simu kwa Rais Samia kumkaribisha Kilimanjaro

Pre GE2025 UVCCM wapiga simu kwa Rais Samia kumkaribisha Kilimanjaro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa umoja huo, Rehema Sombi wamempigia simu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakimkaribisha mkoani humo ambapo anategemewa kuwasili Machi 9 mwaka huu.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Inafikirisha. Labda kama Rais aliwahi kuwaambia siku za nyuma kwamba UVCCM wana"Ruksa maalum ya upendeleo" ya kuwasiliana naye moja kwa moja(Directly). Lakini kwa kuzingatia uzito wa Rais wa nchi; sioni kama ni sahihi kumwalika Rais wa nchi kwenye tukio lenu fulani kwa njia ya simu.
 
Back
Top Bottom