Pre GE2025 UVCCM wapiga simu kwa Rais Samia kumkaribisha Kilimanjaro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Inafikirisha. Labda kama Rais aliwahi kuwaambia siku za nyuma kwamba UVCCM wana"Ruksa maalum ya upendeleo" ya kuwasiliana naye moja kwa moja(Directly). Lakini kwa kuzingatia uzito wa Rais wa nchi; sioni kama ni sahihi kumwalika Rais wa nchi kwenye tukio lenu fulani kwa njia ya simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…