Kama UVCCM ndio mpo hivi ccm itakufa kabla ya 2060.
Dini na siasa ni sawa na story ya kuku na yai, nchi ni sarafu siasa ni upande wa juu wa shilingi na dini ni upande wa chini wa shilingi. Huwezi kuitenganisha nchi isicjsnganye dini na siasa ila unaweza kuitumia dini kufanikisha siasa.
Musolin na udikteta wake aligundua akiendelea kuigusa vatcan hasara ni nyingi kuliko faida maana ktk baraza lake la mawaziri na askari jeshi kulikuwa na waumini watiifu wa kikatoliki akaona shida nini acha awakatie eneo lao wajitawale kidini na waeneze amani ili yeye atawale kiulaini.
Hatukatai CCM ilianza ndio ikafuata Tanzania (serikali). Lakini ni vyema kupiga hesabu faida na hasara za maamuzi ya kuongea jsmbo kabla ya kulizungumza.
Hskukuwa na umuhimu wa kuanzisha uadui na mashehe au wachungaji kwenye jambo la kipuuzi kama hilo.
UVCCM mnashindwa hata kusoma kitabu cha machiaveli?