UVCCM wasema chanzo cha maadili ya wanafunzi wanaodai kuchukua Mabwana ni viongozi wa dini wanaohubiri Siasa

UVCCM Yawatetea wanafunzi waliotishia kuchukua mabwana za wakinamama mtaani, Sasa wasema chanzo cha hayo yote ni Viongozi wa Dini wanaohubiri Siasa.

Hapa katikati kulikuwa na kelele nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu maadili na malezi ya vijana. Kuna vijana walifanya utovu wa nidhamu kwenye mitandao ya kijamii, watu wengi wakapaza sauti kuwasema vijana wale, lakini wengine wakienda mbali wakasema wazazi wa watoto wale, ina mimi nataka niwakumbushe lipo kundi moja tumelisahau linalokupa lawama.

Moja kati ya kazi ya viongozi wa dini ni kuwaamrisha waamini mema na kuwatahadharisha mabaya, moja kati ya kazi ya shehe msikitini ni kuhakikisha watu wanasali wanamjua Mungu wao wanajua dini yao na wanajua maadili yao. Lakini hata kwa viongozi wengine wa dini wengine nao kazi yao ni hiyo hiyo kwa kuhakikisha wanawafundisha waumini wao juu ya misingi ya dini yao na misingi ya maadili yao na misingi ya kumheshimu Mungu.

Sasa lipo kundi tumesahau kulilaumu kundi la viongozi wetu wa dini, leo ukienda msikitini unasikia siasa, ukienda kanisani siasa. Sasa huwa anajiuliza leo ni nani atakayewakumbusha waumini kukumbuka kwamba kuna Mungu na kuna siku ya mwisho na wote tutaesabiwa.

Sasa nitoe wito kwa viongozi wa dini la kwanza kurudi katika maadili ya kazi yao kuwakumbusha au kujenga imani za kiroho kwa waumini wao. Waislamu wawakumbushe kuwakumbusha waumini wao na Wakristo wawakumbushe waumini wao. Na kama wanajisikia wameshatoka kuwa viongozi wa dini wavue majoho kwa wale Wakristo na wale Waislamu wavue kanzu waje katika ulingo wa siasa tupambane kama wanasiasa

Pia soma:
~Makonda: Viongozi wa Serikali wakiwa walafi na wala rushwa, mmefeli nyinyi viongozi wa dini, hao ni waumini wenu!
~ Watu wanashangaa vitendo vya uozo wa maadili mikoa ya pwani wanadhania ni kutokana na usasa kuzidi. Haya mambo yalikuwepo mitandao ndio ime-expose
Wa Kwanza kufeli ni Wazazi wa hao UVCCM.
 
Bora hao viongozi wa dini kuliko viongozi wa ccm watekaji
 
Hawa Uvccm walioongea haya, mna uhakika wana akili sawa sawa vichwani mwao?
 
Hao ma uvccm ni mbwa wasiofugika na mwisho wao unakaribia kenge hizo.
 
Back
Top Bottom