Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hajakosea, yuko sahihi, sisi wanachama tunayashuhudia wanayotufanyia huku uraianiSamaha ametoa kauli hiyo akijibu matamshi ya Mchengerwa yaliyotolewa wilayani Kibaha wakati akifungua kikao cha Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Pwani, ambapo waziri huyo alidai kuwa vijana hawafanyi kazi bila kupewa hongo na kwamba wamechagua upande.
porojo useless kweli hii gentlemanMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Pwani, Samaha Seif Said, amekemea vikali kauli iliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa, akidai kuwa imewadhalilisha na kuwakatisha tamaa vijana wanaojitolea bila kuchoka kukitumikia chama hicho tawala.
Samaha ametoa kauli hiyo akijibu matamshi ya Mchengerwa yaliyotolewa wilayani Kibaha wakati akifungua kikao cha Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Pwani, ambapo waziri huyo alidai kuwa vijana hawafanyi kazi bila kupewa hongo na kwamba wamechagua upande.
Akiongea kwa niaba ya vijana hao, Samaha ameeleza kuwa kauli hiyo imewaumiza na kuwakera sana, huku akisisitiza kuwa wako tayari hata kuomba radhi iwapo itabainika walimkosea, lakini kwa utaratibu wa kistaarabu unaolinda maslahi ya umoja huo.
Mwenyekiti huyo wa UVCCM Mkoa wa Pwani amemtaka Mchengerwa kuacha kutumia kauli za jumla zinazoweza kuchafua taswira na heshima ya jumuiya nzima, badala yake ataje wazi mtu au watu maalum anaowalenga ikiwa ana malalamiko binafsi, akisisitiza kuwa vijana wa UVCCM wanafanya kazi kwa kujitolea na hawapaswi kudharauliwa wala kuhusishwa na vitendo vya rushwa hasa ikizingatiwa kuwa si kipindi cha uchaguzi.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Pwani, Samaha Seif Said, amekemea vikali kauli iliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa, akidai kuwa imewadhalilisha na kuwakatisha tamaa vijana wanaojitolea bila kuchoka kukitumikia chama hicho tawala.
Samaha ametoa kauli hiyo akijibu matamshi ya Mchengerwa yaliyotolewa wilayani Kibaha wakati akifungua kikao cha Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Pwani, ambapo waziri huyo alidai kuwa vijana hawafanyi kazi bila kupewa hongo na kwamba wamechagua upande.
Akiongea kwa niaba ya vijana hao, Samaha ameeleza kuwa kauli hiyo imewaumiza na kuwakera sana, huku akisisitiza kuwa wako tayari hata kuomba radhi iwapo itabainika walimkosea, lakini kwa utaratibu wa kistaarabu unaolinda maslahi ya umoja huo.
Mwenyekiti huyo wa UVCCM Mkoa wa Pwani amemtaka Mchengerwa kuacha kutumia kauli za jumla zinazoweza kuchafua taswira na heshima ya jumuiya nzima, badala yake ataje wazi mtu au watu maalum anaowalenga ikiwa ana malalamiko binafsi, akisisitiza kuwa vijana wa UVCCM wanafanya kazi kwa kujitolea na hawapaswi kudharauliwa wala kuhusishwa na vitendo vya rushwa hasa ikizingatiwa kuwa si kipindi cha uchaguzi.
kaongea ukweli uliwa wazi ,alindwe mh waziri
Mh waziri kaongea ukweli na Maneno mengine kayahifadhi kama mtu mzima..
Namuongezea
Vijana wa CCM kwa sasa ni machawa waliopitiliza hasa Hawa UVCCM nk .
Mm nimekaa kigamboni wakati wa ziara ya Samuya,, niliona uchafu mwingi sana kwanza Ni aibu .
Hawa ndo vijana watakuwa mawaziri wa baadae( rubbish)
Samaha Seif Said ni kifaa jamani! Hiyo sura nimeipenda na anauzika!
Wanu hapo!!!!!@!
Mcherengwa,asininitafute!
Watatekwa woteKwa Nchimbi na Warioba UVCCM walijimaliza sana haya round hiii mkwe kapiga spana ngoja tusubir kama watakuja na matamko.