Luna79 JF-Expert Member Joined Sep 4, 2026 Posts 571 Reaction score 1,640 Oct 18, 2026 #21 Si wanajifunza ka mama na baba zao ambao ndio waasisi wa rushwa na ufisadi. Ccm wote ndio hao hao, mchengerwa asijikoshe.
Si wanajifunza ka mama na baba zao ambao ndio waasisi wa rushwa na ufisadi. Ccm wote ndio hao hao, mchengerwa asijikoshe.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 40,476 Reaction score 26,173 Oct 18, 2026 #22 BIOTOXINS said: Mwanshamba na kundi lako mwasemaje kuhusu kauli ya mkwe? Click to expand... Nitatoa Ufafanuzi
BIOTOXINS said: Mwanshamba na kundi lako mwasemaje kuhusu kauli ya mkwe? Click to expand... Nitatoa Ufafanuzi
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 16,637 Reaction score 16,913 Oct 18, 2026 #23 Mbona kila sehemu ni kobazi tu? Tanganyika kuweni makini mtajikuta hamna chenu na viongozi wote ni kutoka Znz au ni kobazi
Mbona kila sehemu ni kobazi tu? Tanganyika kuweni makini mtajikuta hamna chenu na viongozi wote ni kutoka Znz au ni kobazi
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 18,223 Reaction score 31,465 Oct 21, 2026 #24 Kauli ya mcherengwa, wanaccm wameielewa,ila TAKUKURU, hawakumsikia,na kumwelewa hata kidogo!
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 18,223 Reaction score 31,465 Oct 21, 2026 #25 UWT,CWT& UVCCM Kwenye kutoa na kupokea Rushwa, ni taasisi hatari Duniani kuliko Muslim brother hood!
Doyi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2011 Posts 1,845 Reaction score 2,347 Oct 21, 2026 #26 Hii ni FUTUHI kwa jicho panaa