Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi.Anyway,kuna wengine CORONA iliwapitia pembeni ndo maana chanjo hawawezi kuielewa.CORONA ikiingia kwenye familia ni balaa,dada yangu alifariki katika mazingira ya uzembe kwa CORONA ambayo kila nikimkumbuka huwa naumia sana.Amekufa with just 26years akiwa anamalizia third year.Huwezi kutumia nguvu kuhamasisha chanjo wakati chanjo yenyewe haitoshi.
Tatizo la waswahili ni ubishi. Binafsi nimeshudia waliogua, waliokufa na waliopona COVID-19.
Unamkuta mtu amepona COVID-19 lakini ukimcheck mapafu yake yameathirika kabisa.
Muhimu ni maamuzi yako mwenyewe, kwasababu Afya yako inakuhusu wewe wenyewe.
Waneona bila kutishanatishana, watu hawachanji!
Mimi niko 31, kinga yangu ni imara ila nimechanja.Upo sahihi.Anyway,kuna wengine CORONA iliwapitia pembeni ndo maana chanjo hawawezi kuielewa.CORONA ikiingia kwenye familia ni balaa,dada yangu alifariki katika mazingira ya uzembe kwa CORONA ambayo kila nikimkumbuka huwa naumia sana.Amekufa with just 26years akiwa anamalizia third year.
Hongera sana Mkuu.Mimi niko 31, kinga yangu ni imara ila nimechanja.
Na hapa naona wazee ndio wanakuja kuchanja
Ndugu zangu 4 wamerudisha mpira kwa kipa baada ya kuchanjwa.Mbona hujasema asilimia kubwa ya waliochanjwa wako hoi vitandani na wengine kurejesha mpira kwa kipa kabisa.
Ukichoma subiri kuanzia siku 5 ziishe unaanza kupata matokeo ya chanjo
Sent using Jamii Forums mobile app