Natumaini u mzima wa afya, nina mtoto wangu ambae alitahiriwa Ijumaa, lakini naona amevimba kwenye ile ngozi ya kawaida, Je nimsaidiaje? Hospitali nimeambiwa nimpake Asali, kidonda kitakauka..
Kuna tube fulani pia ni nzuri na wengine hutumia, zile tube za dawa za macho. Mi wangu alitahiriwa kama mwezi mmoja uliopita na nilipewa hiyo tube nikawa namvizia akilala nampaka, na kwa sasa ashapona kabisa hadi kaptula anatupia tu bila shida.