Uvimbe huu unaniumiza, nisaidieni jamani

Uvimbe huu unaniumiza, nisaidieni jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
attachment.php

Na Issakwisa Mponi

MWANAMKE mmoja, Asia Ally Abeid (35 ) (pichani), mkazi wa mtaa wa Msikitini, Buguruni kwa Mnyamani Dar, amefika katika Ofisi za Global Publishers Ltd na kulia kwa uchungu akiwaomba Watanzania wamsaidie fedha za kulipia vipimo na matibabu kutokana na uvimbe uliopo kifuani kwake.

Akizungumza kwa tabu, Asia aliyeambatana na mjomba wake alikuwa na haya ya kusema:

“Mwaka 2006, hiki kidonda na uvimbe unaouona kifuani, ulianza kama kipele kidogo shingoni, taratibu ukakua huku ukiwa na maumivu makali.

Nikaenda hospitali ya Amana Ilala wakanipima na kuniambia kuwa ni uvimbe tu, wakanifanyia upasuaji ili kuuondoa lakini baada ya muda uvimbe ukaanza tena kurudi upya na kwa kasi zaidi ya mwanzo.

“Nilirudi tena hospitali ya Amana mwaka 2009 ambapo walinifanyia upasuaji wa pili, lakini jambo la kusikitisha baada ya muda mfupi tu, uvimbe ulianza kurudi tena nikafanyiwa upasuaji mwaka 2010 katika hospitali ya Misheni ya Maria Thomas iliyopo mjini Arusha, lakini pia haikusaidia kwani baada ya muda uvimbe ulianza kurudi tena.

“Mwaka jana 2012, uvimbe ulikuwa mkubwa kama unavyouona (ana muonyesha mwandishi kidonda), nikarudi Hospitali ya Amana ambapo waliniambia wao wameshindwa hivyo wakaniandikia niende Muhimbili ambako nilipimwa lakini hawakuona tatizo.

“Nimeambiwa niende Hospitali ya Aga Khan kwa kipimo kingine na gharama ni kubwa ni shilingi 450,000.

“Kwa kuwa sina fedha hizo na ndugu zangu kutokuwa na uwezo wa kuzipata nawaomba Watanzania wenzangu wanisaidi ili niweze kuokoa maisha yangu yaliyo hatarini,” alisema mgonjwa huyo.

Aliyeguswa na habari awasiliane na mgonjwa kwa namba
0657 612 231.

Haya tena kwa wale wenye roho za kibinadamu mumsaidie huyu bibi
Asia Ally Abeid Mwenyeezi Mungu atawa lipeni wema wenu.
 
Attachments

  • UVIMBE.jpg
    UVIMBE.jpg
    44.1 KB · Views: 527
Haya Mzizimkavu tunaomba dawa zako hapo wewe huwa unabishana na mimi humu msaidie apone basi.
 
Haya Mzizimkavu tunaomba dawa zako hapo wewe huwa unabishana na mimi humu msaidie apone basi.
MKUU Dr Mupirocin mimi na wewe hatubishani wala sina nia ya kubishana na wewe mimi ila wewe unawapiga

Vita Watu wanaotumia Dawa za Mitishamba ndio mimi hapo unaponikera mbona humu ndani ya Jamii forums kuna Ma-

Daktari wengi tu sio wewe tu peke yako hawapingi Madawa ya Mitishamba iweje wewe unawapiga vita Waganga wa

kienyeji? Huyu bibie anatakiwa kufanyiwa uchunguzi kwanza ili ijulikane ni ugonjwa gani? huenda ikawa ni ugonjwa wa

Saratani au ugonjwa mwengine wowote ule ndipo hapo atakapotibiwa. Inatakikana michango yenu haya Ma-Daktari toeni michango yenu ili aweze kutibiwa na kupona.
 
Kwa uelewa wangu mdogo huyu mama anaweza akawa na ugonjwa unaoitwa Maduromycosis. Kwa kawaida unaathiri miguu na kwa kawaida unaitwa Madura foot, lakini rarely unaweza kuathiri sehemu za kifua.
Kwa wale wanaotaka kujua zaidi Maduromycosis is disease caused by various fungi namely Madurella mycetomi or Actinomycetes. Mycetoma is a localized chronic and deforming granulomatous infectious disease of subcutaneous tissues found in tropical and subtropical countries.
Ningeshauri mgonjwa afanyiwe kipimo cha biopsy (kipande cha uvimbe) kuwezesha kufahamu anasumbuliwa na nini.
Maelezo niliyotoa ni maoni yangu tu isije ikachukuliwa kama ndio tatizo lake.
 
dah kweli hujafa hujaumbika ee mungu umpe heri nakumpunguzia maumivu
 
MKUU Dr Mupirocin mimi na wewe hatubishani wala sina nia ya kubishana na wewe mimi ila wewe unawapiga

Vita Watu wanaotumia Dawa za Mitishamba ndio mimi hapo unaponikera mbona humu ndani ya Jamii forums kuna Ma-

Daktari wengi tu sio wewe tu peke yako hawapingi Madawa ya Mitishamba iweje wewe unawapiga vita Waganga wa

kienyeji? Huyu bibie anatakiwa kufanyiwa uchunguzi kwanza ili ijulikane ni ugonjwa gani? huenda ikawa ni ugonjwa wa

Saratani au ugonjwa mwengine wowote ule ndipo hapo atakapotibiwa. Inatakikana michango yenu haya Ma-Daktari toeni michango yenu ili aweze kutibiwa na kupona.

mimi pia sikupingi ila ninachobishana na wewe kuwakatalia watu wasitumie dawa za hospitali lakini matokeo yake wanakuja late hospitali wakiwa kwenye end stage na matokeo yake wanakufa. Pili unapinga dawa za kisasa ambazo zimefanyiwa utafiti na kuonekana efficacy yake ktk kutibu magonjwa husika. pia dawa zenu hazina kipimo na wala hazijafanyiwa utafiti mnatumia tu na wala hazijathibitika kuwa kweli zinatibu magojwa hayo, pia wewe hujaenda shule kusomea angalau basi course za traditional medicine ambapo ungesoma hii course ndo ungejua kuwa mimi na wewe tunatakiwa kutibu wagonjwa kwa kushirikiana na siyo kupingana. mimi nafikiri tuishie hapa na kila mmoja aheshimu fani ya mwenzake na kuthamini mchango katika jamii, si mbaya siku moja ukanicosult kukusaidia kutibu magojwa coz najua wala hujui mgonjwa akilalamika nini ufanye kipimo gani coz unafanya kwa hisia. nina wasiwasi kama hata kupima jotoridi la mwili unaweza, coz BP najua hujui coz ulishaonyeha siku mmoja hapa kwenye mjadala mmoja.
 
Ushauri wangu kwa aliyekaribu amshauri aende hospitali yeyote ya wilwyw au Mkoa apate barua ya rufaa aende muhimbili ili wakaangalie unasababishwa na nini, kama cancer watampeleka mionzi au chemotherapy Ocean road, akiwahi matibabu na ndo pona yake mapema kuliko akichelewa coz anavyozidi kuchelewa ndivyo unavyozidi kusambaa sehemu nyingine za mwili hasa kama ni cancer.
 
mimi pia sikupingi ila ninachobishana na wewe kuwakatalia watu wasitumie dawa za hospitali lakini matokeo yake wanakuja late hospitali wakiwa kwenye end stage na matokeo yake wanakufa. Pili unapinga dawa za kisasa ambazo zimefanyiwa utafiti na kuonekana efficacy yake ktk kutibu magonjwa husika. pia dawa zenu hazina kipimo na wala hazijafanyiwa utafiti mnatumia tu na wala hazijathibitika kuwa kweli zinatibu magojwa hayo, pia wewe hujaenda shule kusomea angalau basi course za traditional medicine ambapo ungesoma hii course ndo ungejua kuwa mimi na wewe tunatakiwa kutibu wagonjwa kwa kushirikiana na siyo kupingana. mimi nafikiri tuishie hapa na kila mmoja aheshimu fani ya mwenzake na kuthamini mchango katika jamii, si mbaya siku moja ukanicosult kukusaidia kutibu magojwa coz najua wala hujui mgonjwa akilalamika nini ufanye kipimo gani coz unafanya kwa hisia. nina wasiwasi kama hata kupima jotoridi la mwili unaweza, coz BP najua hujui coz ulishaonyeha siku mmoja hapa kwenye mjadala mmoja.
Mkuu Mupirocin mimi Sipingi watu wasiende hospitalini Kujitibia hata kidogo Mimi Ushauri wangu wa kwanza kwa Wagonjwa humu ndani ya Jamii Forums ni kwenda kwanza Hospitali kumuona Daktari huyo Mtu yoyote atakaye pinga wagonjwa wasiende hospitali atakuwa sio mtu mzuri hakuna hata Thread

yangu yoyote ile niliyosema kuwa Eti Mtu akiumwa asiende Hospitali ebu wewe onyesha Thread gani mimi niliye andika eti Mtu akiumwa asiende Hospitali? Mimi huwa ninasema Dawa nyingi za Hospitali ni sumu tuwe waangalifu haswa Ma-

Daktari kuwapa Wagonjwa Dawa za Sumu sijaseme watu wasiende Hospitali Dr Mupirocin jaribu kunielewa vizuri mimi sipingi Watu wasitibiwe Hospitali jaribu kunielewa Mr Mupirocin. mimi kwanza huwa ninawambia Wagonjwa wanaotaka

ushauri wangu waende Hospitali kujitibia ikishindikana ndio waje tena hapa ndio hapo mimi huwa ninaweza kutoa ushauri wangu siwezi kuwakataza Wagonjwa wasiende Hospitali jaribu kunielewa Dr Mupirocin.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mzizimkavu, hivi ukimwambia mtoto hii ni sumu unafukiri huyu mtoto atatumia dawa hiyo kweli. Sasa kumwambia mgonjwa hizi dawa zinasumu automatically unaconfuse anashindwa atumie modality ipi kupata suluhu ya matatizo ya magonjwa yanayomkabili. As a result anakwenda kutumia dawa za kienyeji. Kwa taarifa yako Taznania ndo inayongoza kwa ushirikina na kutumia local herbs zisizo kuwa namanufaa kwa mgonjwa.
 
Dr Mupirocin Hebu wewe niambie huko unako fanya kazi Hospitali ya Serikali kuna Dawa yoyote unayo waandikia Wagonjwa isiyokuwa na Madhara? Niambie wewe ukweli wewe ni Daktari je unatoa Dawa isiyokuwa na madhara kwa binadamu wewe?

Drug Side Effects:

Please note - many side effects of medications may not be reported. Always consult your doctor or healthcare specialist for medical advice. You may also report side effects to the FDA atMedWatch: The FDA Safety Information and Adverse Event Reporting Program or 1-800-FDA-1088 (1-800-332-1088).
Information about Drug Side Effects

A side effect is usually regarded as an undesirable secondary effect which occurs in addition to the desired therapeutic effect of a drug or medication. Side effects may vary for each individual depending on the person's disease state, age, weight, gender, ethnicity and general health.
Side effects can occur when commencing, decreasing/increasing dosages, or ending a drug or medication regimen. Side effects may also lead to non-compliance with prescribed treatment. When side effects of a drug or medication are severe, the dosage may be adjusted or a second medication may be prescribed. Lifestyle or dietary changes may also help to minimize side effects.

Top 20 Side Effect Searches

Hebu nionyeshe Dawa zenu za Hospiatli zisizokuwa na Sumu Daktari Mupirocin? Wewe Kaa ule Mshara wako wape wagonjwa madawa yenye sumu fanya biashara na wanaouza Madawa yenye sumu Pharmacy ule Mshahara

wako umaajiriwa na Serikali ili uapte kuala wewe kula wagonjwa wape Sumu na Dawa zenu hizo zenye madhara na kutibu ndani yake. Hapa chini ndio Dawa zenu zenye sumu kwa binadamu Zinatibu na kudhuru ndani yake nimekuorodheshea hapa chini angalia zote zipo hapa.

Side Effects A-Z Index:

AA + D Cracked Skin Relief →
aclidinium
Aclovate →
AK-Con
AK-Dex →
Aller-Chlor Decongestant
Aller-Dryl →
Amerigel Care
AmeriPhor →
anthrax vaccine adsorbed
Anti-Dandruff →
Asacol HD
Asbron G →
Ayr Baby Saline
Ayr Saline Nasal →
Azurette

BB & O Supprettes →
Benadryl Allergy Plus Cold
Benadryl Allergy Plus Sinus Headache →
Big Shot B-12
Biltricide →
Bromphenex DM
brompheniramine →
Bystolic

CC Phen → carbamazepinecarbamide peroxide otic →
CellCept
Cellugel →
Childrens Panadol 1 - 5 Years Colourfree
Childrens Panadol 5 - 12 Years →
cisatracurium
cisplatin →
Cobalin-H
cobicistat / elvitegravir / emtricitabine / tenofovir →
Control
Control Rx →
CVS Allergy & Sinus Headache
CVS Extra Strength Headache Relief →
Cytuss-HC NR

DD 1000 IU →
Delestrogen
Delfen Foam →
Despec DM
Despec DM Syrup →
Dibenzyline
Dibrom →
Divista
Dixaphedrine →
Drs Cream
Dry Cough →
Dytuss

EE Pherol →
Endacof XP
EndaCof-AC →
Esimil
Eskalith →
Extendryl SR
Extina →
Ezol

FFA-8 →
Fiorinal with Codeine
Fiorinal with Codeine III →
Folgard RX
Folgard Rx 2.2 → Fycompa

GG Bid → GevrabonGevratonic →
Guaifenex RX
Guaimax-D →
Gynovite

HH 9600 SR →
Histerone
Histex →
Hydropres-50
Hydroquinone and Sunscreen →
Hyzine

II-Fol Plus → IntralipidIntrinsitinic →
Ixiaro

JJ-Cof DHC → Juvisync

KK + Potassium →
Koromex Crystal Clear Gel
Kovia →
Kytril

LL Thyroxine Roche →
Librax
Librium →
Loprox TS
Lopurin →
Lysteda

M M O S → Maxifed-G CDMaxifed-G CDX →
Mescolor
Mesehist DM →
Min-Ovral 21
Min-Ovral 28 →
Mucinex Moisture Smart
Mucinex Nasal Spray →
MZM

http://www.drugs.com/sfx/

Dawa karibu zote za Ma Hospitalini zina Sumu na Madhara kwa Binadamu utaniambia nini mimi nisicho kijuwa wewe Daktari wa Serikali

Mupirocin? Wape Wagonjwa Madawa yenye sumu upate na wewe kula ili uishi Wauwe Wagonjwa na wewe uishi kwa Raha Mkuu.Mupirocin
 
Back
Top Bottom