Uvimbe katika Ovari tiba yake ni IPI?

makaghari

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
543
Reaction score
530
Heshima kwenu wakuu..

Ndugu zangu kuna Dada yangu juzi ameenda hospitali kufanya vipimo, baada ya vipimo amegundulika kuwa ana Uvimbe katika ovari kwani alianza kudai kuwa anasikia maumivu upande wa kulia chini ya kitovu...
Ndugu zangu naomba msaada wenu
1. Hali hii husababishwa na nini..??
2. Ni tiba ipi anayoweza kutumia ili kutatua tatizo alilonalo..??

Natanguliza shukrani...!
 
Pole sana Wasiliana mimi nitakupa Dawa ataziacha hizo dawa alizopewa hospitali zinazo msababisha kutapika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…