Uvimbe katika Ovari tiba yake ni IPI?

Uvimbe katika Ovari tiba yake ni IPI?

makaghari

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
543
Reaction score
530
Heshima kwenu wakuu..

Ndugu zangu kuna Dada yangu juzi ameenda hospitali kufanya vipimo, baada ya vipimo amegundulika kuwa ana Uvimbe katika ovari kwani alianza kudai kuwa anasikia maumivu upande wa kulia chini ya kitovu...
Ndugu zangu naomba msaada wenu
1. Hali hii husababishwa na nini..??
2. Ni tiba ipi anayoweza kutumia ili kutatua tatizo alilonalo..??

Natanguliza shukrani...!
 
Mkuu dawa amepewa na ameanza kutumia lakini kuna tatzo jingine kubwa limejitokeza kwamba alopoanza tu kutumia hizo dawa anatapika sana...kila anachokula tu anakitapika....
Tumeshindwa kuelewa ni situation gan...all in all nitawasiliana nawe kwa taarifa zaidi Mkuu..Ubarikiwe..
Pole sana Wasiliana mimi nitakupa Dawa ataziacha hizo dawa alizopewa hospitali zinazo msababisha kutapika.
 
Back
Top Bottom