Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
hbari wanajukwaa. mke wangu ana kitu kigumu ukibinya binya tumbo unakifeel . juu kidg y kitovu. size yake kama 7cm n upana 4cm. hakionekani kw nje na hakiumi ila akilalia tumbo kuna maumivu kidogo. yey ni mnene kdg. nimesearch google wenye ttizo km ilo wengi wanasema ni figo. wengine wanasema after ct scan chek doctors wamefail sema n nn ( http://m.steadyhealth.com/hard_mass_in_abdomen_t95388.html?page=3)sio ujauzito coz kaziona siku zake sio muda na kwa ukubwa wa hii kitu haiwezekni akawa kakua fasta hivi. msaada wataalam .