Uvimbe (kitu kigumu) ndani ya Tumbo

Uvimbe (kitu kigumu) ndani ya Tumbo

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
hbari wanajukwaa. mke wangu ana kitu kigumu ukibinya binya tumbo unakifeel . juu kidg y kitovu. size yake kama 7cm n upana 4cm. hakionekani kw nje na hakiumi ila akilalia tumbo kuna maumivu kidogo. yey ni mnene kdg. nimesearch google wenye ttizo km ilo wengi wanasema ni figo. wengine wanasema after ct scan chek doctors wamefail sema n nn ( http://m.steadyhealth.com/hard_mass_in_abdomen_t95388.html?page=3)sio ujauzito coz kaziona siku zake sio muda na kwa ukubwa wa hii kitu haiwezekni akawa kakua fasta hivi. msaada wataalam .
 
Mpeleke hospital akapimwe kwanza ndo uje na ugonjwa usaidie
 
juu ya kitovu katikati, kushoto au kulia? lakini pia ajaribu kuchekiwa na ultra sound baada ya kuwa amekaa masaa zaidi ya 17 bila kula anywe maji tu,,,
 
wakuu asanteni kw ushauri. tupo hosp tunangoja zamu. nitaleta feedback
 
juu ya kitovu katikati, kushoto au kulia? lakini pia ajaribu kuchekiwa na ultra sound baada ya kuwa amekaa masaa zaidi ya 17 bila kula anywe maji tu,,,

mkuu ni chini ya kitovu. ni kubwa tokea kushoto hadi kulia.
 
mkuu ni chini ya kitovu. ni kubwa tokea kushoto hadi kulia.


kama ni chini ya kitovu mkuu hapo mcheki vipimo tu maana magonjwa mengi ya kina mama huwa yanaambatana na maumivu chini ya kitovu hasa yale yanayohusiana na mfumo wa uzazi
 
mrejesho/

thnks wakuu/ tumepiga utrasound (regency hosp/posta) hawajaju ni nini wame advise tupige ct scan. nd wao wamesema ni simething size ya mtoto mwenye umri wa miezi 7, (nb: sio mimba siku zake anaziona kama kawaida) so tunangoja tu j3,
thanks sana wakuu ata kw ushauri/
 
Back
Top Bottom