hbari wanajukwaa. mke wangu ana kitu kigumu ukibinya binya tumbo unakifeel . juu kidg y kitovu. size yake kama 7cm n upana 4cm. hakionekani kw nje na hakiumi ila akilalia tumbo kuna maumivu kidogo. yey ni mnene kdg. nimesearch google wenye ttizo km ilo wengi wanasema ni figo. wengine wanasema after ct scan chek doctors wamefail sema n nn ( http://m.steadyhealth.com/hard_mass_in_abdomen_t95388.html?page=3)sio ujauzito coz kaziona siku zake sio muda na kwa ukubwa wa hii kitu haiwezekni akawa kakua fasta hivi. msaada wataalam .
juu ya kitovu katikati, kushoto au kulia? lakini pia ajaribu kuchekiwa na ultra sound baada ya kuwa amekaa masaa zaidi ya 17 bila kula anywe maji tu,,,
juu ya kitovu katikati, kushoto au kulia? lakini pia ajaribu kuchekiwa na ultra sound baada ya kuwa amekaa masaa zaidi ya 17 bila kula anywe maji tu,,,
kama ni chini ya kitovu mkuu hapo mcheki vipimo tu maana magonjwa mengi ya kina mama huwa yanaambatana na maumivu chini ya kitovu hasa yale yanayohusiana na mfumo wa uzazi
thnks wakuu/ tumepiga utrasound (regency hosp/posta) hawajaju ni nini wame advise tupige ct scan. nd wao wamesema ni simething size ya mtoto mwenye umri wa miezi 7, (nb: sio mimba siku zake anaziona kama kawaida) so tunangoja tu j3,
thanks sana wakuu ata kw ushauri/