Uvimbe kwenye dhakari

Uvimbe kwenye dhakari

Shinoga

Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
16
Reaction score
4
Nina uvimbe kwenye dhakari (mboo) upande wa chini karibu na shina la mboo. hauumi, ni kama kigololi kinacheza cheza ukikishika. kilianza kidogo sana lakini naona kila siku zikisogea kinazidi kukukua. Naomba msaaada wenu na ushari
 
ok pole kwanza nawaza ni kitu gani ingawa maelezo hayajitoshelezi.
Imeanza lini
je unaongezeka au unapungua!
Rangi yake

lakin haya ndo nawaza
1. Heamatoma yan blood vessel inapasuka ndan then damu inavuja ndani. Because of violent sex au masterbation
matibabu. Inaisha yenyewe
2. Condyloma au warts because of resent sex with new partiners au your partner akatembea na new one
matibabu
cryotherapy with silver nitrate
3. Penile cyst. Inaweza kuwa nywele imeota ndan
matibabu. Excision yan inatolewa
4. Other type of tumor.
Kama uko mwanza nikuone au find Dr
 
Wahi hospitali kama ulivyoshauriwa na Mkorea!
 
Back
Top Bottom