M Mdazy Member Joined Sep 10, 2012 Posts 7 Reaction score 1 Feb 25, 2014 #1 wanaJF naomba msaada nimetokewa na kiuvimbe kwenye kope ya jicho hakina maumivu ila kinanikera sielewi hichi kitu ni nini na kimesababishwa na nini. shukrani.
wanaJF naomba msaada nimetokewa na kiuvimbe kwenye kope ya jicho hakina maumivu ila kinanikera sielewi hichi kitu ni nini na kimesababishwa na nini. shukrani.
M Mama wa wily Member Joined Jun 14, 2014 Posts 13 Reaction score 0 May 19, 2015 #2 pole sana nenda muone daktari
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 May 21, 2015 #3 wahi hospital kapime ujue ni nini hicho
T trustful Senior Member Joined Mar 9, 2016 Posts 173 Reaction score 144 Mar 29, 2019 #4 Mimi pia nina tatizo hili kwa anaejua dawa tafadhali naomba anisaidie.