uvimbe kwenye jicho

uvimbe kwenye jicho

Mdazy

Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
7
Reaction score
1
wanaJF naomba msaada nimetokewa na kiuvimbe kwenye kope ya jicho hakina maumivu ila kinanikera sielewi hichi kitu ni nini na kimesababishwa na nini.
shukrani.
 
wahi hospital kapime ujue ni nini hicho
 
Mimi pia nina tatizo hili kwa anaejua dawa tafadhali naomba anisaidie.
 
Back
Top Bottom