TAABU YA GENERAL PRACTITIONERS (GPs) huwa wanatoa general solutions na siyo specific solutions kama ambavyo specialists hutoa. Sijui kwa upande wako hao madaktari ulio waona ni specialists au ni GPs. Nakushauri ujaribu Muhimbili kuna wigo mpana wa kupata specialists kuliko GPs.
Thanks for your concern.ntajipanga mapema iwezekanavyo.TAABU YA GENERAL PRACTITIONERS (GPs) huwa wanatoa general solutions na siyo specific solutions kama ambavyo specialists hutoa. Sijui kwa upande wako hao madaktari ulio waona ni specialists au ni GPs. Nakushauri ujaribu Muhimbili kuna wigo mpana wa kupata specialists kuliko GPs.
kwa mtu kama huyo uvimbe unakuja ghafla na unauma. Hiyo itaku benign tumor Au mastitis. Sidhan kama ni breast ca though nimeona waschana wadogo wengi wana agressive breasta ca.
Nenda hospital isijekuwa ca ukawa umechelewa. Bt wakati unajianda tafuta ceftriaxone injection plus metronidazole oral plus analgesic kama pcm au declofec.. wampe hospitali au dispensary ya karibu.
Plz PM kama utapata ugumu
Dr kim