Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Ndugu Wadau,
Mwanangu (15) jinsia (KE) ana uvimbe kwenye ziwa lake la kulia likiambatana na maumivu wakati fulani.Tumeigundua takriban miezi mitatu sasa na tumewaona wataalamu wa hospital (mount Meru) Arusha kwa wakati tofauti wamekuwa na ushauri tofauti ambao umetupa taabu kufikia maamuzi.
1.Mmoja alituambia ni kufanya operation na kutoa uvimbe
2.Mwingine katuambia asifanyiwe operation kuna dawa za kutoa uvimbe
Tupo njia panda wakati huu ambapo tunahitaji matibabu sahihi.Maana amemeza antibiotics mara nyingi bila kuwa na badiliko lolote.
Naombeni msaada wenu JF Doctors