Uvimbe/ Mapele Kisogoni

babilas25

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
482
Reaction score
353
Ndugu wanajukwaa naomba niende moja kwa moja kwenye maada

Kuna hili tatizo la kuota vipele vyenye kuwasha na pia husabisha hata nywele kutoota mahali vilipo tatizo hili linawapata sana wanaume, na huanzia kisogoni na husambaa taratibu kichwani.

Nini hasa huwa chanzo cha tatizo hilo na tiba yake ni ipi.
 
Karibu kwa ushauri wenye kujua
 
Wajuvi wa mambo haya msaada tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…