Nevu hamis
Member
- Feb 20, 2014
- 5
- 0
Nimekua nikisumbuliwa na masikio huu mwiaka 8 sasa kila nikienda hospitali naambiwa nina uvimbe sitokwi na usaha ila kila nikisafisha masikio yanauna sana na hata nikiweka dawa hata nikae masaa nisiinuke ila nikija inuka dawa yote inatoka I need your help seriously