Uvimbe mwlini mwa mtoto

Uvimbe mwlini mwa mtoto

kilama

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
2,745
Reaction score
1,989
Ndugu wapendwa habarini za muda!
Samahani ndugu zangu,mwanangu anasumbuliwa na viuvimbe vinavyomtoka sehemu mbalimbali za mwili wake, na tulijaribu kwenda kupata tiba lakini bado tatizo lipo palepale. Vinapotea kwa muda lakini vinarudi tena.

Nimeambatanisha na picha zake hapo chini. Naombeni msaada wenu.

IMG_20190613_154020.jpeg
IMG_20190613_154008.jpeg
IMG_20190613_154024.jpeg
 
Hii inonekana ni allergy reaction. Kaa na daftari uandike tarehe na saa ya kila kitu unachompa. Uangalie hii reaction inatokea baada ya kula nini katika masaa 24.

Vinginevyo hospitali wanapima allergy kwenye damu watakwambia vitu ambavyo hapaswi kula.
 
Hii inonekana ni allergy reaction. Kaa na daftari uandike tarehe na saa ya kila kitu unachompa. Uangalie hii traction inatokea baada ya kula nini katika masaa 24.
Vinginevyo hospitali wanasoma allergy kwenye damu watakwambia vitu ambavyo hapaswi kula.
[/rQUOTE]
Asante sana best, japo nilitaka kukupm ila network ikinizingua.
Ni problem karibia ya watoto wengi wa mtaa wetu. Hakuna namna ya medication kwa inshu hii? Maana naona hili zoezi la kukaa na daftari naliona si haba.
 
Ndugu wapendwa habarini za muda!
Samahani ndugu zangu,mwanangu anasumbuliwa na viuvimbe vinavyomtoka sehemu mbalimbali za mwili wake, na tulijaribu kwenda kupata tiba lakini bado tatizo lipo palepale. Vinapotea kwa muda lakini vinarudi tena.

Nimeambatanisha na picha zake hapo chini. Naombeni msaada wenu.

View attachment 1126875View attachment 1126876View attachment 1126877
Hii bila shaka ni allergy. Hata mimi nina watoto wangu wakinywa maziwa ya ng'ombe tu hivi vipele hutokea. Wasipokunywa vinatoweka. Unampa maziwa hasa ya ng'ombe? Na usiniambia kuwa zamani alikuwa anakunywa lakini hatokewi! Maziwa yanatofautiana. Kuna mengine wanachakachua na ma-chemical, mengine ng'ombe wananyoshwa madawa nk. Kama hanywi maziwa basi akangalia vyakula vyovyote vinavyotengenezwa na maziwa kama anatumia. Na vitu kama karanga, samaki nk. Njia nzuri ni kuacha kumpa kitu kifulani kwa mda, kisipoleta matokea unaacha kingine mapaka ujue hswa ni chakula gani
 
Back
Top Bottom