Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Habari wana JF,
Dada'ngu anasumbuliwa na tatizo la uvimbe ndani ya kizazi. Amefanyiwa upasuaji mara 2 akiondolewa uvimbe, na mara hii uvimbe umerudi tena ameambiwa kama ataenda hospitali tena itabidi akatolewe kizazi kabisa! Ana mume na kaolewa juzijuzi tu na hajawahi kuzaa.
Sasa huu ni mtihani sana kwetu jamani, naombeni mumshauri please..
Pole sana dawa ya kumtibu Dada yako Uvimbe wa kizazi ninayo na akitumia kwa siku 14 tu atapona bila ya kutolewa kizazi na hauta rudi tena huo Uvimbe na ata zaa bila ya matatizo yoyote yale ukitaka Dawa nione kwa kubonyeza hapa.Mawasilianoduh mzizimkavu naOmba uxhaur pls
Mkuu morrine unaweza kunitafuta kwa kuniandikiabaruw aya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comjamani mzizi mkavu naomba no . yako ya cm make nimefuatilia iyo ya mawasiliano nimeshindwa kuitumia napiga naambiwa haipo