Uvimbe nyuma ya kizazi na hedhi mfululizo

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
587
Reaction score
276
Napenda kujua kuna jirani yangu dada yake ana uvimbe tumboni nyuma ya kizazi hii ni baada ya matokeo ya Ultrasound na pia ana uvimbe mwingine tumboni. Hali hii inaambatana na maumivu tumboni na pia anakuwa na hedhi mfulululizo hii imeonekana kwa miezi mitatu ilopita, anaweza kwenda period zaidi ya wiki mbili. Hosputal kapewa dawa za uvimbe. Napenda kujua je huu ni ugonjwa gani au ni dalili za nini? Na msaada wa matibabu yake zaidi ya dawa hizo alizopewa anaweza kupata uchunguzi na tiba zaidi ya hapo?
Ahsanteni.
 
although am not a doctor by professional

fibroid kama imeota ndani ya tumbo atafanyiwa upasuaji then wataondoa

ila ina tendency ya kurudia kukua tena hivyo kama alishamaliza kuzaa

doctors huwa wanashauri kuondoa kizazi I have witnessed this kwa mtu wangu wa karibu tu

yeye alikuwa na fibroid 3 tumboni equivalent to 12kgs
sisi wanawake tu shida na haya matumbo yetu mmh

kama vp aende aga khan kwa doctor Shafiq anadeal sana hz issues kama upo daslam
 
Asante kwa maelezo yako na ushauri wako ndugu yangu, ndio yeye yupo dar.

Jambo lingine yeye hsptl aloenda ni Amana na kapewa hizo dawa za kunywa ila wasiwasi wangu ni kuwa je dawa zitaponesha hayo mafibroid? Nilidhani operesheni ndio tiba sahihi.
 
Google uterine fibroid utapata cause,pathophysiology na Management/Treatment
 
Dah polen sana jaman huwa nawaskitikia sana Wanawake polen kwa matatzo hopely atapona
 
Mpe pole sn hyo dada namshaur aende hosptl kubwa lyk aghakan op atapata matibabu yaliyo sahih thn achek na saratan huwez jua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…