Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Napenda kujua kuna jirani yangu dada yake ana uvimbe tumboni nyuma ya kizazi hii ni baada ya matokeo ya Ultrasound na pia ana uvimbe mwingine tumboni. Hali hii inaambatana na maumivu tumboni na pia anakuwa na hedhi mfulululizo hii imeonekana kwa miezi mitatu ilopita, anaweza kwenda period zaidi ya wiki mbili. Hosputal kapewa dawa za uvimbe. Napenda kujua je huu ni ugonjwa gani au ni dalili za nini? Na msaada wa matibabu yake zaidi ya dawa hizo alizopewa anaweza kupata uchunguzi na tiba zaidi ya hapo?
Ahsanteni.
Ahsanteni.